chongchung
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 14,741
- 46,082
Venue for AFCON opening and closing games😍😍😍.Wewe kama mtanzakundu huogopi👇View attachment 3077379
Wewe huogopi hii bypass ya Mombasa- Diani 🚧🚧View attachment 3077385View attachment 3077386View attachment 3077387View attachment 3077388
Ndio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣Mambo ya zamani haya tuliyaacha 90s wakati wa nyumba za Nyayo Estates
Mzee wa Sgr itapandwa na vitukuu vyetu😂😂😂 ulikimbia uzi. Juha weweNdio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣
Saivi kumbe mnazalisha umeme MW ngapi vile.? 😂😂😂😂Ndio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣
Nyumba za single units Kama za wachuna majani kericho.Ndio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣
Mmezeeka mkijenga SGR, mtoto anazaliwa msingi ukiwekwa sasa ako miaka saba, ilhali km chache iliwatoa jasho, taifa hovyo, uchumi hafifu, tafadhali fyata, nimewadharau sana🤣🤣🤣🤣Mzee wa Sgr itapandwa na vitukuu vyetu😂😂😂 ulikimbia uzi. Juha wewe
Kumbe ulisema dodoma itaonwa na vitukuu vyetu eeh.? 😂😂Ndio vilaza wanatoka porini pole pole., bado wako vichakani, wasamehe hawajazoea wanaona ni ulaya eti🤣🤣🤣🤣
Hopeful uliona kwamba treni zetu zinafika dodoma 😂😂😂 au haujaona mzee.?Mmezeeka mkijenga SGR, mtoto anazaliwa msingi ukiwekwa sasa ako miaka saba, ilhali km chache iliwatoa jasho, taifa hovyo, uchumi hafifu, tafadhali fyata, nimewadharau sana🤣🤣🤣🤣
Maendeleo ya dom itaifanya dar ipumue,natamani moro,arusha na tanga zipige hatua ili watu wapungue dar,mtu m 6 n.k kwenye mji mmoja ni wengi mnoIpeni muda Dodoma msiijaze tembo maji bure wagema ninyi.
Dodoma ina develop lakini bado inahitaji muda.
Sgr ya kenya mpaka leo haijafika malaba mtoto aliyezaliwa wakati huo ana miaka 12 darasa la 6 bado mnajenga tuu🤣🤣🤣🤣Mmezeeka mkijenga SGR, mtoto anazaliwa msingi ukiwekwa sasa ako miaka saba, ilhali km chache iliwatoa jasho, taifa hovyo, uchumi hafifu, tafadhali fyata, nimewadharau sana🤣🤣🤣🤣