President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,647
- 94,285
Njaa kaka. Ogopa mtu mwenye njaa, anatamani watu wote wawe kama yeye. π€£ π€£ π€£ π€£Mwenye njaa siyo mwenzakoAnahama mara ooh mbona ume book economy!?
Kwani pesa huna!?
ππππHao wenye pesa kuliko mimo wame book economy sembuse mimi!?
Sheria zitasimamiwa hapo, haki za watu zitasimamiwa , walio dhulumiwa watapewa haki zao, n.k. Na shughuli zote zitafika ndani ya hilo jengo, so Yes hilo jengo litachagiza uondoaji wa umaskini katika jamii.Hii itasaidia vipi kuondoa umaskini vumbistan ??
Kumbe hawa vilaza ni hovyo sana, yaani ukiondoa wachezaji kutoka Kenya na other countries kwa nchi yao the baboons remain useless as usual., kila game wanadinywa left right center ata ya ladies hehehe.,
Hapo kwa baboons nimesupport. Number one baboon ni huyu hapa Sama boy 255 πππ€£ππKumbe hawa vilaza ni hovyo sana, yaani ukiondoa wachezaji kutoka Kenya na other countries kwa nchi yao the baboons remain useless as usual., kila game wanadinywa left right center ata ya ladies hehehe.,
Uongo mwingine waliousemea Kenyans eti kuna nafasi kubwa sehemu ya kupandia lazima uruke.
Thats not true,pa kupandia na ngazi ya behewa papo karibu kabisa utofauti ni kama 2cm
Husk nyumba mbona zinafanana na servants quotas za Kericho tea pickers?πππ€£.Modern apartments in Dodoma, sio kama vile vi apartments nzee vilivyojengwa na wazungu enzi za Kenyatta senior. Hapa inajengwa estate kubwa ambayo haijawahi kutokea East and central Africa, ikifika 2025 gape la Tz estate Vs Ke estate litafika $100b kutoka gape kubwa la sasa.View attachment 3077267View attachment 3077269
Hop step and jumpπππ€£
Thanks for accepting that hile Tournament ya under 12 kids ni village tournament not recognized anywhereπNimekuuliza mimi ni mfanyakazi wa FIFA? Kundudwellers always are stupid.
Mzee wa second hand clothes
Unaongea hapa na unavaa animals skinsπππ€£Mzee wa second hand clothes
Ndio hizo zinaletwa Tanzania. Mdosi amepeana order ya Saba and three are being delivered nowπππ€£ππHii migali yenu ipo hovyo sana, hakuna abiria utapata ukiileta Tanzania.
Balance of trade continues to widenNdio hizo zinaletwa Tanzania. Mdosi amepeana order ya Saba and three are being delivered nowπππ€£ππ
View: https://x.com/BusesNation/status/1826678122647044346
Hao wakituuzia mahindi gunia mbili wanapiga kelele kweli kweli while sisi tunawauzia mabasi, malori na some Toyota carsπππ€£Balance of trade continues to widen
Treni yetu ni ya kupanda sio ya kudumbukia kama kaburini ilivyo yenuHop step and jumpπππ€£
Mambo ya zamani haya tuliyaacha 90s wakati wa nyumba za Nyayo EstatesModern apartments in Dodoma, sio kama vile vi apartments nzee vilivyojengwa na wazungu enzi za Kenyatta senior. Hapa inajengwa estate kubwa ambayo haijawahi kutokea East and central Africa, ikifika 2025 gape la Tz estate Vs Ke estate litafika $100b kutoka gape kubwa la sasa.View attachment 3077267View attachment 3077269