The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,667
- 99,002
Sisi hatubagui yoyote mwenye uwezo atacheza Tanzania ambayo ndiyo ndoto ya wachezaji wote EA, kwasasa tunawakaribisha wanawake kutoka mataifa yote duniani kuja kukuukuza mpira wetu wa wanawake lkn sio wanaume mana kwa wanaume cku hizi tunachukua ma MVP tu kutoka ligi tofauti Africa na ligi nyingine duniani, nyie wakenya kwa sasa tunachukua wanawake tu mana kwa upande wa wanaume hakuna nafasi kwa sasa.Simba Queens ni Extension ya harambee starlets team B
View: https://x.com/TeyaKevin/status/1826208186296127755?t=-VdGpoFffRMNGAnIgSgMZg&s=19
Hakuna wakenya kwa timu zenu za kiume?? Tupe heshima yetu ama tuchukue kwa nguvu 😂😂😂Sisi hatubagui yoyote mwenye uwezo atacheza Tanzania ambayo ndiyo ndoto ya wachezaji wote EA, kwasasa tunawakaribisha wanawake kutoka mataifa yote duniani kuja kukuukuza mpira wetu wa wanawake lkn sio wanaume mana kwa wanaume cku hizi tunachukua ma MVP tu kutoka ligi tofauti Africa na ligi nyingine duniani, nyie wakenya kwa sasa tunachukua wanawake tu mana kwa upande wa wanaume hakuna nafasi kwa sasa.
Tanzania ipo na timu zaidi ya 32 zinasajili wachezaji kutoka nje.Hakuna wakenya kwa timu zenu za kiume?? Tupe heshima yetu ama tuchukue kwa nguvu 😂😂😂
Ila 2025 Moto utawaka 😂😂😂😂muda ni msema kweli
Kwahiyo graduate asiyejua english sio graduate according to you na unataka kutuaminisha kuwa graduates hapa duniani ni english speakers tuu🤣🤣🤣🤣Kama form one hajui basic English, na huyo ndio anafaa kua graduate in a few years. 🤣 🤣 🤣 Uswazi hamna maghorofa, pengine zile vyoo na bafu bila paa ndio zinaweza anguka.
Drilling ipo bado turkana, petrodollars wacha tuzivune.
Hawa nyangau hakuna lugha wanayoijua zaidi ya Luo na Kikuyu hizi nyingine zote wanaungaunga tuu 🤣🤣🤣😂😂😂😂
Look at you, eti walianzia Kenya.
What we should say about Kilwa?
Why the hell hamuongei kiswahili fasaha?
It's like claiming English ilianzia kwenu while British wanaongea kiingereza fasaha.
If am correct nyie ndio mnatudiss about Swahili mara ni lugha ya waarabu leo ni cha Waswahili wa Kenya.
Kenya yenye broken swahili iwe origin like seriously?
Graduate kutoka kwa English curriculum Kama hajui kiingereza sio graduate.Kwahiyo graduate asiyejua english sio graduate according to you na unataka kutuaminisha kuwa graduates hapa duniani ni english speakers tuu🤣🤣🤣🤣
Mkoloni bado amekaa kichwani mwao rent free 🤣🤣🤣Hawa nyang'au bado wanaona Kiingereza ni lugha ya kikenya. Bado wako gizani😎😎
Aligraduate aje bila kujua English yet tests in Bongoslum Universities are done in English.Kwahiyo graduate asiyejua english sio graduate according to you na unataka kutuaminisha kuwa graduates hapa duniani ni english speakers tuu🤣🤣🤣🤣
You are stupid. Acha kukariri. Kingereza ni lugha na hapa Tanzania ni somo kama masomo mengineAligraduate aje bila kujua English yet tests in Bongoslum Universities are done in English.
Form 1 hawajui kiingereza na ndio lugha inatumika kwa high school and university exams. 🤣🤣🤣🤣 Enyewe ndio kwa maana mafala bongo ni wengi.You are stupid. Acha kukariri. Kingereza ni lugha na hapa Tanzania ni somo kama masomo mengine
Mzee issue za kingereza ni mambo ya kitoto. We did that during colonial era.Form 1 hawajui kiingereza na hio lugha inatumika kwa high school and university exams. 🤣🤣🤣🤣 Enyewe ndio kwa maana mafala bongo ni wengi.
Kushindana na wenzenu imewashinda Sasa mmeamua kuenda kusumbuana na watoto wanakula indomie na Sossi. Those Chinese kids have no energy to compete with Tanzanian kids raised on porridge and Cassava 😂😂.
Exam munafanya kwa kiingereza na wengi wenu hawakielewi. Your education system is trash.Mzee issue za kingereza ni mambo ya kitoto. We did that during colonial era.
Tunajua Jomo Kenyatta Did not have enough education. Kafa ovyo na kuacha ujinga wa kikoloni Kundustan 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Endeleeni na mashindano cheap. Tanzania deals with Profitable tournamentsKushindana na wenzenu imewashinda Sasa mmeamua kuenda kusumbuana na watoto wanakula indomie na Sossi. Those Chinese kids have no energy to compete with Tanzanian kids raised on porridge and Cassava 😂😂.
Rudini East Africa munyoroshwe na watoto wa Kenya na Uganda😂😂
Can you tell us the Education Level of Jomo Kenyatta tucheke 🤣🤣🤣🤣Exam munafanya kwa kiingereza na wengi wenu hawakielewi. Your education system is trash.