Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Why are you always looking for Kenya's approval? Yani mmezungukwa na nchi nane ila ni Kenya tu inayowasumbua kisa haishighuliki na mambo yenu?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Why are you always looking for Kenya's approval? Yani mmezungukwa na nchi nane ila ni Kenya tu inayowasumbua kisa haishighuliki na mambo yenu?πŸ˜‚πŸ˜‚
Make no mistake vumbistan wana consume sana media zetu, unapata wanaangalia habari za Citizen badala ya TBC. Unakuta wanajua county zetu zote 47 na majina ya ma governors. Kuna siku citizen waliweka headline ya ukaidi wa magufuli dah balaa, embassy yao walikuja na hasira kwamba wamedhalilishwa πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nikama decoder zao zinaonyesha channels za Kenya, sijawai kuona any decoder in Kenya inaonyesha any channel from Bongoslum.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…