Mwambie na Family ya Bidyanguze wanaomiliki WORLD OIL yenye depot Kigamboni.Bongo kuna waswahili kibao wanatoboa.
Isipokua bongo ni watu wa kuishi kwa kutosheka kama ulikua hujui.
Sio watu wa kujikweza kama Wakenya.
Kina Doctor Kairuki ni waarabu wale!??
Hawa wajinga wanajikuta eti wajanja kisa kuuziwa? Hawajui sio rahisi hivyo sheria zikiwepo ni ngumu kujidai unamiliki maana wakiamua hauna chako.View attachment 3070476
Kama umeuziwa 400 sqr meter kwa ajili ya makazi huko tanga anza kudai pesa yako,umetapeliwa kama wanavyotapeliwa kunyan wengi
Wewe Endelea kukaa kijijini😂😂🤣Mbona SASA munataka kunipiga kwani shida nini jamani 😂😂😂😂😂😂😂
Imagine someone from here talking about poverty 😂😂😂😂😂😂😂
See the kind of vehicles on ur roads! Wacha kuota ujinga!
Hadi wewe jamaa mchafu unaongea? Nenda ukaoshe nyumba kwanza😂View attachment 3072099
Kwa sura hizi za magari hakuna kitu kinavuka 1997 hapa. 😂😂😂😂😂 ila bado mkundustan anadai magari yao 0 kilometer 😂😂 .
Hamna watu wajinga kama Wakunya! Ni mwendo wa kujikweza tu!View attachment 3072099
Kwa sura hizi za magari hakuna kitu kinavuka 1997 hapa. 😂😂😂😂😂 ila bado mkundustan anadai magari yao 0 kilometer 😂😂 .
Kenyans aren’t allowed to import vehicles older than 7yrs, in Tanzania mnaimport hadi za miaka yako😂😂🤣Hamna watu wajinga kama Wakunya! Ni mwendo wa kujikweza tu!
Kununua gari kenya ni ghali kuliko Tanzania, hivyo mwananchi wa kawaida aki save pesa yake kununua gari ya 8yrs old, ataiendesha kwa miaka mingi sana. Hii ina reflect magari mengi ya zamani kuwepo Kenya.Between us wenye haturuhusu importation of vehicles older than 8 years old na nyinyi mnaoingiza magari za hadi miaka 15 ni wapi kuna magari chakavu?
Kuna Hiace zinatembea Kenya kama daladala mimi na uzee wangu wote niliziona zikiwa daladala hapa Tz wakati niko sekondari.Kununua gari kenya ni ghali kuliko Tanzania, hivyo mwananchi wa kawaida aki save pesa yake kununua gari ya 8yrs old, ataiendesha kwa miaka mingi sana. Hii ina reflect magari mengi ya zamani kuwepo Kenya.
Tanzania mtu atanunua gari ya 10yrs old, ataendesha miaka mitano, atanunua nyingine. Ndiyo maana huoni gari za 80's au 90's barabarani kama Kenya.
Peleka uongo wako mbali, new number plates zinatoka after every 3 months proves that your point is not true.Kununua gari kenya ni ghali kuliko Tanzania, hivyo mwananchi wa kawaida aki save pesa yake kununua gari ya 8yrs old, ataiendesha kwa miaka mingi sana. Hii ina reflect magari mengi ya zamani kuwepo Kenya.
Tanzania mtu atanunua gari ya 10yrs old, ataendesha miaka mitano, atanunua nyingine. Ndiyo maana huoni gari za 80's au 90's barabarani kama Kenya.
Venus Star alishaonesha namba za Tz na Ke zilipofikia sasa. Kwa sababu tuna permutations sawa (i.e how many times numbers and letters can be re arranged), utaona wazi nani amesajili magari mengi. BTW, kama hufahamu permutation and combination (a.k.a counting without counting) nitakuwa nampigia mbuzi guitar.Peleka uongo wako mbali, new number plates zinatoka after every 3 months proves that your point is not true.
Trailer za bongo zinatumia number same number plates sequence na gari za kawaida. In Kenya trailers hutumia a different sequence, same with Tractors and Heavy Machinery. Kenya ilibadilisha number sequence za motorcycles na TukTuks in 2009, Bongoslum ilifanyika in 2016.Venus Star alishaonesha namba za Tz na Ke zilipofikia sasa. Kwa sababu tuna permutations sawa (i.e how many times numbers and letters can be re arranged), utaona wazi nani amesajili magari mengi. BTW, kama hufahamu permutation and combination (a.k.a counting without counting) nitakuwa nampigia mbuzi guitar.
“Corrupt Kenyans”Kenyans aren’t allowed to import vehicles older than 7yrs, in Tanzania mnaimport hadi za miaka yako😂😂🤣