Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ok onesha mshono kwenye hiyo t-shirt ya Bill Gate ili niamini maneno yako.View attachment 3070776
Yeye ni huyu sio yule mwenye Ndola😂😂😂😂 na T-shirt yake ya ukimwi unaua 😂😂😂😂

Ukitakakujua hilo linganisha mikono yake kwenye ile picha yake ya dp na I picha hii, bracelet na hiyo jeans. 😂😂😂 plus ukaaji wa mikono. 😂😂
 
Mkuu huo ni mshono kaka, t-shirt imevaliwa mpaka imechanika akashona, angalia vzr hapa 👇 👇 View attachment 3070783
Mimi kaka naangalia more details check zaidi kaka 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Kuna maji yanavuja hapa

1723720288254.png
 
Hawa watu ni maskini bwana😂😂🤣. Alafu kuna mwenye anakuambia ati hakuna vile unaezaingia 5*Hotel ukiwa na T-Shirt. Kama sio ushamba ni nini jameni😂😂🤣
Nani huyo? Ebu quote post nicheke.😂🤣
 
Mimi kaka naangalia more details check zaidi kaka 🤣 🤣 🤣 👇 👇 👇 Kuna maji yanavuja hapa

View attachment 3070784
Alafu pia mpost picha zenu, sio kila mara mtu akipost mnatoa makosa pasipo na makosa yet mnaokota picha za wanaume wengine mkiziita zenu. Ushasahau ulipost picha ya mwanaume mwengine ukajifanyia yako humu? 🤣 🤣
 
Nani huyo? Ebu quote post nicheke.😂🤣
Hawa hapa wazee wa faivu sitaa oteli 👇👇🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Screenshot_20240815-124652~2.png
Screenshot_20240815-125303~2.png
Screenshot_20240815-124316~2.png

Na faivu sitaa oteli yenyewe ndiyo hii hapa 👇 👇 🤣 🤣 🤣 🤣
Screenshot_20240815-135601~2.png

Naanza kuamini wewe ndiyo huyo huyo mnuka nnyaa kwenye 🆔 nyingine 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
 
Kwa hivo uko better than Bill Gates kisa amevaa T-Shirt? Wacha ushamba. Wengine wetu T-shirt and jeans is our favorite. Suti tunavaa tu kwa official events.

billgates-split.jpg
Tanzanians have poor mindset, they think that ukiwa na pesa lazima uvae clads and trending clothes. No wonder most of them are poor😂😂🤣

Kuna mwingine niliona amenunua viatu vya 500 bob na ako na bedsheet moja😂😂🤣.

Anyway this the mentality between poor and rich people.

1723720600496.jpeg
 
View attachment 3070792
Ukiambiwa rich people wanavaa simple clothes sio kama hizi mzee wa faivu sitaa oteli 👇 👇 🤣 🤣
Screenshot_20240815-124652~2.png
Screenshot_20240815-125303~2.png
Screenshot_20240815-124316~2.png
 
Tanzanians have poor mindset, they think that ukiwa na pesa lazima uvae clads and trending clothes. No wonder most of them are poor😂😂🤣

Kuna mwingine niliona amenunua viatu vya 500 bob na ako na bedsheet moja😂😂🤣.

Anyway this the mentality between poor and rich people.

View attachment 3070792
Mzee ikiwa wewe ni huyu👇🏾
IMG_0743.png
😂😂😂 tafuta hela mzee ununue wala T-shirt na viatu mkuu 😂😂😂
 
Alafu pia mpost picha zenu, sio kila mara mtu akipost mnatoa makosa pasipo na makosa yet mnaokota picha za wanaume wengine mkiziita zenu. Ushasahau ulipost picha ya mwanaume mwengine ukajifanyia yako humu? 🤣 🤣
Sio kwamba hatujipost, huwa tunajipost sema kutokana na jinsi tulivyoumbwa vzr watanzania mnahisi tumeweka picha za watu wengine 🤣🤣🤣🤣

Ninyi wakenya mna fake sn life, mara ngapi humu mkenya akijisifu kuwa na simu kali lkn akipiga picha zinatoka na ukungu!?

Mara ngapi humu mkenya akijisifu ana good life lkn akipiga picha yake halisi ni vichekesho!? Mmojawapo ni wewe mwenyewe ilipostiwa picha upo na mzee wako sikuamini macho yangu 🤣🤣

Mara ngapi mzee wa faivu sitaa oteli anajichoresha humu kila akipost maisha yake halisi!?
Kuna siku ali download mipesa Google akasema zake tukamdaka, hii inaonesha utofauti mkubwa wa kimaisha na kuthibitisha ukweli unaosemwa mara kwa mara tangu nikiwa mtoto kwamba Wakenya mna maisha magumu sanaa same as Ethiopians.
 
Back
Top Bottom