Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Upuuzi mtupu, huyu mama hatotufikisha popote, kwanza muoga, hakuna aliyemtumbua hata mmoja, mtu kaharibu huku anamuhamishia kule, yaleyale mtu anafanya madudu na haogopi mana anajua atahamishiwa sehemu nyingine, ni kweli sio wote wanaotakiwa kutumbuliwa, ila kwa madudu yaliyopo ndani ya serikali yake kakosa hata mmoja wa kumfanyia mfano?

Kwa mtanzania mwaminifu kabisa na mwenye kujitambua hawezi kumpigia chapuo huyu mama, hafai.
 
Jeans yake ya bei poa, ukiweka kwenye maji dakika tano maji yote yanakuwa blue. Ana fake life kwa kuletea maisha usanii.
Kashamba kweli kweli, alafu kanaonekana ni ka hustler, kamepitia maisha magumu mnooo, mm nakafahamu tangu kipindi kile kanasoma kapo humu kakubwa but it seems kalirudia rudia shule na ndiyo maana kalichelewa kupata kazi, nilikuwa nakaonea kweli kweli mpaka kanaenda ku download pesa mtandaoni nikakaita bwana mapesa, now kamepata kazi ya kuosha vidonda basi kanavimba, kumbe wenzie tulishatoka huko kitamboo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uliwai post picha zako humu na sare za watchman alafu unawaita wengine washamba? Unachekesha. 🤣 🤣
 
Hujiulizi Ukunyani ukiwa Mwanasiasa tu ndo unatoboa? Nenda Arusha na Zanzibar uone Watanzania wenye 5 star hotels na si wanasiasa ndo uje ujilinganishe!
Na Bongo lazima uwe Mwarabu ama Muhindi ndio utoboe.
Halafu taja hizo 5 - star na wamiliki tuone.
 
Nyie nyang’au akina Teargas endeleeni kukaza fuvu tu😎😎

View: https://m.youtube.com/watch?v=YF0UuhznTGs
wanaenda choo kwa hisani ya lazy Tanzanians! wamejikuta hawana pa kuagiza maize zile kelele za sijui kuwa na mashamba DRC zimeisha! Sijui kuagiza Zambia na Malawi wamekuta Zambia na Malawi wanaagiza Tanzania pia!


View: https://x.com/HabariLeo/status/1823727729998758286

View: https://x.com/DMMUZambia/status/1823260607560212592

View: https://x.com/MAD4safari/status/1823714312306794631

View: https://x.com/TAZARAHQ/status/1823684615007027499

CC: Wachawi Rhaenyra Targaryen NairobiWalker Teargas n mwathadan mpo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…