The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Hii imewasaidia nn kuondokana na fedheha ya njaa na maandamano ya unga, mnapenda sana sifa za kijinga ******* nyinyi.Kenya inatambuliwa kote.
View: https://www.instagram.com/reel/C-k1RbKPvUE/?igsh=MWZyaWp3YXJydHNkcg==
Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zako kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui biashara.🤣 🤣Mkenya akiri hakuna slums Tanzania asema masikini wa Tanzania anaishi vizuri kuliko middle class wa Kunyaland asema nyumba zote Tanzania ni za matajiri Kunyaland 😂😂😂
Wakenya wachanganyikiwa na Tanzania mmoja anasema anataka kuhamia Tanzania mwingine anasema kipindi wamekuja na wazazi wake wali tafuta mpaka shule wahamie Tanzania,
View: https://youtu.be/DFSmUvVFedE?si=l6VuYMzDN_wFNIff
Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣
Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
Limeshaasimama msituni mara kumi halafu unasema halijaanza kazi?Waambie the JOKA bado halijaanza kazi. Linasoma mchezo kwanza.
Hivi hili jengo mmiliki wake ni Mtanzania? Kwanza kuna 5-star hotel hapo Bongo inayomilikiwa na Mtanzania?Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
Hilo nginanginja linakuchekecha hadi ufike unaumwa kila sehemu, plus vumbi na kunguni kwa uchafu wa wakunya na vyoo visivyo na maji,No wonder watu wanaopt kulala chini……nimesafiri na SGR usiku sijaona a single person hata anataka kulala zaidi ya a little nap kwenye seat, sasa hao jamaa zetu safari ya masaa 4 behewa zima limechoka mbaya mpaka watu wanalala sakafuni tells a lot about how discomfort that train is……..yaani unalala chini mahala ambapo kila mtu anakanyaga kwa safari ya masaa 4 tu? Aisee hii ni ngijangija kweli😂😂😂
Wivu utakuua wewe 'yesu wa tongareni'😎Limeshaasimama msituni mara kumi halafu unasema halijaanza kazi?
wacha kupotosha nawe Mgeni anaweza kumilika productive land over 99 acres kupitia kampuni!Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
Ukinitajia Mkunya anamiliki 5 star hotel mbali na Wanasiasa natoka humu!Hivi hili jengo mmiliki wake ni Mtanzania? Kwanza kuna 5-star hotel hapo Bongo inayomilikiwa na Mtanzania?
Usidhani Wakenya ni bongolala kama nyie.
Asante sana Geza. Huyo watchman huongea upuzi sana.🤣🤣🤣wacha kupotosha nawe Mgeni anaweza kumilika productive land over 99 acres kupitia kampuni!
Tumalizane kwanza na issue hiiAsante sana Geza. Huyo watchman huongea upuzi sana.🤣🤣🤣
Kwani Wanasiasa sio Wakenya? 🤣🤣Ukinitajia Mkunya anamiliki 5 star hotel mbali na Wanasiasa natoka humu!
Hujiulizi Ukunyani ukiwa Mwanasiasa tu ndo unatoboa? Nenda Arusha na Zanzibar uone Watanzania wenye 5 star hotels na si wanasiasa ndo uje ujilinganishe!Kwani Wanasiasa sio Wakenya? 🤣🤣
Leo umepotea madam. JOKA ni EMU bado haijaanza operations. Pole na kazi.Limeshaasimama msituni mara kumi halafu unasema halijaanza kazi?
We pimbi, sheria zingine hua za kuliwaza watu maskini kama wewe. Waarabu wanamiliki Ngorongoro na wanafanya vile wanataka hadi wakawafukuza wamasaai wenye walikua wanamiliki ardhi huko.Sheria zetu sio za kipuuzi kama zenu, hakuna mgeni kumiliki ardhi, kama haumiliki ardhi hiyo nyumba kajenga angani auu, tumia akili usitumie mata.k.o kufikiri.
Huyo kijana unajuaje si Mtanzania?Kijana mdogo wa miaka 25 amekuja Bongo amejenga nyumba kali kushinda hata maceleb wenu na ameanzisha biashara alafu anawachocha mnaona mmefika? 🤣 🤣 🤣 Unajua kitu kinaitwa marketing? Ukienda kwa watu kufanya biashara you make them feel special, hapo watanunua bidhaa zakp kama upuzi. Ndio maana tunainvest kwenu, huku kwetu labda hao mabillionea wenu wahindi na Waarabu ndio wanaweza piga investments. Nyinyi weusi hamjui niashara.🤣 🤣
Alafu kuna vitu hujasema.
1. Pale aliposema Wabongo hawajui Air BnB ni nini (12:46). bado mko nyuma sana ya nyakati.
2. Hapo Bongo wanatambua Wakenya, they believe Kenyans have a lot of money. (17:46)
3. In Arusha, there are many buildings owned by Kenyans. (20:06)
Kampuni ikisajiliwa Tz ina haki ya kumiliki ardhi. Hata Mkenya anaweza kumiliki ardhi Tz kama ana kampuni iliosajiliwa Tz ila sio kama yeye binafsi.Hivi hili jengo mmiliki wake ni Mtanzania? Kwanza kuna 5-star hotel hapo Bongo inayomilikiwa na Mtanzania?
Usidhani Wakenya ni bongolala kama nyie.
Hizo HUNTING BLOCKS zipo miaka na miaka hata wewe unaweza kuuziwa. Pia kampuni ikisajiliwa Tz ina haki ya kununua ardhi.We pimbi, sheria zingine hua za kuliwaza watu maskini kama wewe. Waarabu wanamiliki Ngorongoro na wanafanya vile wanataka hadi wakawafukuza wamasaai wenye walikua wanamiliki ardhi huko.
Huoni hizo ni screenshot za Google earth wewe mandazi? I took those screenshots myself.Unaokoteza picha mtandaoni si ndio?
Tanzania tunayoijua ni hii hapa 👇👇View attachment 3069398View attachment 3069399
Arsenal ishaiwin trophy gani in Europe?
So watu wanapewa Juice na Korosho before train iondoke? Tafuta watu wa kudanganya😂😂😀