Waambie the JOKA bado halijaanza kazi. Linasoma mchezo kwanza.Yani utasema uko ndani ya ndege aloo๐๐
Go go Tanzania ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ ndio maana Wanaumia Sana kaaaaaah
View attachment 3069416View attachment 3069417View attachment 3069418
Tofauti yake na ndege ni kuwa ndege inapaa angani hii inatembea juu ya ardhi.Yani utasema uko ndani ya ndege aloo๐๐
Go go Tanzania ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ ndio maana Wanaumia Sana kaaaaaah
View attachment 3069416View attachment 3069417View attachment 3069418
Sisi tunaweka hela kwenye miundombinu, viwanda, kilimo na uvuvi pamoja na kwenye elimu na afya. Towers can wait zitakuja tuu automatically no need ya kuforce towers while basic sectors hazijakaa sawa.Na zao zote zilikuwa mpya. Hatukupumzika humu. Sahii ukiongelea towers wanasema ni vitu visivyo vya maana.๐
Yani hio ndio tofaut ๐๐๐Tofauti yake na ndege ni kuwa ndege inapaa angani hii inatembea juu ya ardhi.
Arsenal ishaiwin trophy gani in Europe?Naona nabishana na TUTUSA.
Ubora wa klabu unalinganishwa na level ya mashindano ambayo klabu imecheza.
Arsenal kafika nusu fainali ya KLABU BINGWA ULAYA.
Unafananishaje na westham popoma wewe!?View attachment 3069402
So watu wanapewa Juice na Korosho before train iondoke? Tafuta watu wa kudanganya๐๐๐Hapo ndio tumeingia kwenye train bado watu Wanaingia wengine wako kwenye ticket check chizi ww๐๐๐๐๐
Unaumia Sana na mm ndio furaha yangu
Empty seats everywhere ๐๐Yani utasema uko ndani ya ndege aloo๐๐
Go go Tanzania ๐น๐ฟ๐น๐ฟ๐น๐ฟ ndio maana Wanaumia Sana kaaaaaah
View attachment 3069416View attachment 3069417View attachment 3069418
Europe hakuna kunyeshewa na kupigwa na jua watu wakshuka ๐๐Aisee hzo station ni level za Europe bro๐๐๐View attachment 3069557View attachment 3069559View attachment 3069560
Wueh!! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Kila siku picha hizo hizo mpaka zinachosha. Siku moja moja tuwekee picha za nyumba za mabati za kule Kibera jijini Nairobi au unaogopa?๐
Wenye wlisema 70% of Dar is Slum hawakukosea๐๐Wueh!! ๐คฃ ๐คฃ ๐คฃ
Unajengewa tower alafu mazingira ndiyo haya ๐๐Sisi tunaweka hela kwenye miundombinu, viwanda, kilimo na uvuvi pamoja na kwenye elimu na afya. Towers can wait zitakuja tuu automatically no need ya kuforce towers while basic sectors hazijakaa sawa.