The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,666
- 98,993
Wewe upo Kenya tangu kuzaliwa na haujawahi kutoka hapo hata kwa bahati mbaya, na upo hivi ππUnasahau jamaa amekuwa Tanzania since 2019?πππ€£ Hiyo Kuparara unaona ni mateso ya Tanzaniaπ€£π€£πππ€£
Usiongelee cosmetics cause Dar canβt Even achieve 10% of what Addis Ababa has achieved.
View attachment 3068238
View attachment 3068239
View attachment 3068240
View attachment 3068241
Kama Nairobi aisee ππ
Kwan hata kama huna maji utasema ukweli humu ndani ???πππππI have running water, idiot.
Kwa vile za umeme zinakuumiza Sana roho yakoπππππSaa hii wanatamani trains za dieselπππ€£
Jibu zuri Sana ππππThis is the real Iriza I6s body. Zile za Katarama ni fakeπππ€£
View: https://x.com/tanroas/status/1823066773840884183
Data si uwa zinapikwa tu hapo kiberaRoutes aside, there are waaaay more planes, air passengers and air cargo landing and rising in Kenya than in Tanzania. You know that. You can check the data.
Kwa lile sako la juzi lazima waumwe
Hata JkIA haifiki ubora huu πππHalafu wanataka kufananisha hii airport na Mombasa.
View: https://youtube.com/shorts/tRg6556tA2s?si=3KuBStLZUYsRaHhP
Mimi kitu inanishangaza how come within one month train inakwama Mara tano?πππ€£Tulinunua Toyota Hilux mpya wao wakanunua used BMW with shitty BMW reliability and Toyota maintenance pockets π€£π€£
Nyinyi hamjui football nyamaza. Hata mkipewa team Z ya Harambee Stars bado itatwanga tu Taifa Starsπππ€£Celebrating some useless past glory πππ
Kujeni sasa hivi tujipigie nje ndani.
70% of Dar is Slum. You should know thatπSlum is the icing on the cake π
Watchman tangu lini ukajua mambo ya maisha mazuri?πππ€£Wewe upo Kenya tangu kuzaliwa na haujawahi kutoka hapo hata kwa bahati mbaya, na upo hivi ππView attachment 3068351
Inakuwaje Abuya abadilike ndani ya muda mchache? Nimekuambia atabadirika tu, kwenu maisha ni magumu sanaa, nmekuambia mwache jamaa ale mema ya nchi na atabadirika kama wenzake.