Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mm najua wanaunda body 🤣🤣🤣🤣🤣

Eti chassis assembly unafkiri chassis ni kama Kula bajia Tu
Ulisema basi imetoka China. Tena umebadilisha goal ati ni body pekee ndio imetengenezwa Kenya. Tena sio China?😂😂🤣
 
Ulisema basi imetoka China. Tena umebadilisha goal ati ni body pekee ndio imetengenezwa Kenya. Tena sio China?😂😂🤣
Nimekwambia gari yenyewe ni howo Kwanzia engine, diff, chasisi hapo Kenya ni body Tu ila usinambie eti built in Kenya 🤣🤣

Chukueni na mavi ya wazungu museme built in Kenya 🤣🤣🤣🤣

Au munaumia vile china alivochukua soko la bus Tanzania over 99% bus za Tanzania zinatoka china
 
Waulize kiwanda chao cha kuyeyusha vyuma kinaitwaje?
 
Unapoteza muda mwingi ku pump sense kwenye brains za hizi kima humu. Elimu unayowapa Inaingilia sikio moja na kutokea upande wa pili akili zao haziwezi kuchakata ukweli ndio maana unaona humu ndani huwa wanabisha vitu vya hovyo kabisa.
 
Viwanda vingi sana vya cement Tanzania na miradi inayoendelea demand ni kubwa sana.
Julius nyerere dam, sgr, Dom city, water infrastructure shule na hospitals
Hapa tuna viwanda
1. Tanzania Portland Cement
2. Dangote cement
3. Simba cement
4. Mbeya cement
5. Lake cement
Na vingine vingi tuu Kigamboni, mwanza etc
 
And yet Tanzanian cement consumption is still below 6.4M tonnes in a year 😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…