mwaiofhawaii
JF-Expert Member
- Dec 24, 2022
- 6,465
- 6,889
Am gonna frame this after the Olympics alongside Map of Tanzania ..ππ.. as a teaching lesson to my kids .. βHow not to be a sorry loserβ..π€£π€£π€£π€£Refugees are better than Tangagiza. π€£ π€£ π€£
View attachment 3065751
Usinifanye nicheke.ππIn performance vivo iko juu kuliko Google pixel.
Vivo ni simu ya 5 miongoni mwa simu bora zenye ufanisi duniani baada ya Samsung,iPhone,Oppo,Xiamo.
Hajui one of the reasons ya maandamano ya gen z ni introduction of hizo land ownership laws zao.ππBongolala, wacha kujitekenya. Where did you read that Kenyans don't own land? Na hizi title deeds ambazo watu wako nazo ni dhihirisho ya nini? Unasema mkenya hamiliki land wakati wewe umekodisha ardhi kutoka kwa serikali huku mkenya anamiliki tena ako hadi na hatimiliki. Si unaona ujinga na ujamaa ilivyowapumbaza?
ππNairobiWalker si nilikuambia huyu jamaa alipewa simu kwa mkopo πππ€£. Venye tu alianza kusema ati yako ni refurb Kumbe yake ndio refurb hivo ndio ameanza tena kusema simu yangu ni ya mkopoπππ€£.
They're not even aware this is happening but the moment a Kenyan name is mentioned somewhere, hata mtoto anayejifunza kuongea atajua Wakenya wanawaharibia mambo.ππAnd then they will start accusing Kenyaππ
View: https://x.com/lifeofmshaba/status/1821795218674643362
Kwa hiyo siku hizi mnaunda chassis, sio body tena? π π πHuwa naambia hawa wajinga ati wananunua chassis Kenya lakini hawaskii, ndio sasa wameimport buses without chassis πππ
View: https://x.com/PabloYende/status/1821890815372779880
Kwa hiyo siku hizi mnaunda chassis, sio body tena? π π πHuwa naambia hawa wajinga ati wananunua chassis Kenya lakini hawaskii, ndio sasa wameimport buses without chassis πππ
View: https://x.com/PabloYende/status/1821890815372779880
Wapumbavu kweli, huwa wanasema hizo buses zinatoka Kunyaland leo wameziona bandarini wanahamia kwenye chassis πππWhat does this post has to do with kenyan chassis poor boy.? ππππ
Usitudanganye hapa reason ya maandamano ni kudai ugali na nkateπHajui one of the reasons ya maandamano ya gen z ni introduction of hizo land ownership laws zao.ππ
Excited wanasema egggzzzzaited badala ya eksaited ππππKingereza chao cha Edukashoni , Eliminashoni, Divishoni π π π
Hao sijui gen z sijui nini wamefanikiwa kumng'oa Ruto au wameishia kutimua mbio mchana kweupe?πππHajui one of the reasons ya maandamano ya gen z ni introduction of hizo land ownership laws zao.ππ
Na hiki je?Excited wanasema egggzzzzaited badala ya eksaited ππππ
Kua na ww celebrity ili tukuite kama ni rahisi πLil Romeo?β¦ thatβs your famous American celebrity?β¦ π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππ