Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Si aende kwa duka la simu ajidanganye ati anakata kununua simu Alafu aipige picha, cause that’s what he does bestπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
Hivo ndio amefanya. Ametumia Mo Simu Kariakoo text eti amtumie list ya bei za simu akatuma humu eti sasa hiyo ni proof ako na simu kali. 🀣 🀣
 
Hiyo time unatumia kubishana hapa ungeshapost picha tuone. Ama posting one picture will take you 8hrs?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£.
 
Just post the phone, unaogopa nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Yani you are free kutafuta chats kwa simu zako hadi upost lakini posting about your phone ndio unaweka kikomo?πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa hivo una marafiki wauza simu za bei rahisi kwa maduka ya waarabu na wahindi hapo kariakoo, ushatuonyesha. Sasa tuoneshe simu unayotumia maanake tumeona rafiki zako wanauza visimu vya bei rahisi kwa duka la muhindi. Tuoneshe yako unayotumia.
 
Just post the phone, unaogopa nini?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Yani you are free kutafuta chats kwa simu zako hadi upost lakini posting about your phone ndio unaweka kikomo?πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii Ndio simu natumia kukujibu wewe Mbwalu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎI have three of these.
 
Kwa hivo una marafiki wauza simu za bei rahisi kwa maduka ya waarabu na wahindi hapo kariakoo, ushatuonyesha. Sasa tuoneshe simu unayotumia maanake tumeona rafiki zako wanauza visimu vya bei rahisi kwa duka la muhindi. Tuoneshe yako unayotumia.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mimi sio size yako kijana. You are welcome.
 
So in short unarun errands mtaani?πŸ˜‚πŸ˜‚

Mtu akikuambia anatafuta simu unakimbia kwa wauza simu unawauliza kama ziko?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Hii Ndio simu natumia kukujibu wewe Mbwalu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸΎView attachment 3064403I have three of these.
iPhone 11? Simu ya 2019 unalinganisha na simu ya 2023. Watu wanaonunua simu mpya hawawezi kaa na simu moja kwa miaka 5. Hiyo labda umepewa na rafiki aliyenunua mpya akaiacha ama umenunua refurbished ndio maana wewe ni gwiji wa simu refurbished sana. Alafu nataka nione picha ya simu yenyewe usije kuwa umedownload screenshot online.

Tazama utofauti wa bei ya simu yako na yangu.

 
Ninazo iPhone 30 dukani bro ingizo la last week. Ukinitambia pixel used unanichelesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hakuna kitu umeingiza hapa. Wewe umetumiwa picha na wenyewe unabrag nayo hapaπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ninazo iPhone 30 dukani bro ingizo la last week. Ukinitambia pixel used unanichelesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hiyo yako ya 2019 ndio used. Utapata wapi simu used model ya 2023? Alafu wewe ni muuza simu. Simu zilizoko dukani sii zako ni za bosi wako. Yani uuzie mwarabu simu alafu useme ni zako? 🀣 🀣
 
Ninazo iPhone 30 dukani bro ingizo la last week. Ukinitambia pixel used unanichelesha πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Duka ya mwarabu?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.

Now I know penye ulitoa pesa za Jana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Unauza kwa duka ya simu so yesterday after sales calculations ukaamua kuchukua pesa za mdozi upige picha hili upost hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…