Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Katika wapumbavu wa kikenya wewe ni namba moja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Wewe unadhani ili mtu apate pesa nyingi lazima awe ameajiriwa.? Au unadhani kila mtanzania humu ndani Chanzo chake cha mapato ni ajira.? Mana naona umepost mshahara wa clinical officer kusapoti point yako kwamba ikiwa clinical officer analipwa hiv then non is paid more.πŸ˜‚πŸ˜‚

Kabla sijatajakazi za kujiajiri (mimi binafsi nina ajira na nimejiajiri).. kwenye kuajiriwa huku kuna Kazi kama sales and marketing ambapo basically there’s no limit on what you are to be paid, the better your performance, the more you are paid.. kupokea mshaharawa 2m-3m ni kitu cha kawaida.. watu wa sales and marketing wananielewa

Kwenye kujiajir huku let’s say, huku Ndio watanzania wengi tupo huku, na kuna pesa mingi hatari, biashara za mazao ya nafaka, matunda, Nyama ya kuku, ng’ombe, mbuzi, mayai . Huku Ndio kuna utajiri wa haraka balaa ukiweka pesa mingi, hiyo 8 million unataja ni pesa kidogo sana ambapo ukijitega vizuri unaipata hii like every week or even everyday


Ki camera cha 8 million πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚you said , Unakuja kutamba that you better.? WTF you talking about bro? Maybe pesa enyewe ulichangiwa or you have been supported to get it.? Or it was your dream camera so you make up slow slow 3 years down then dayum you got it.? Or maybe camera si yako umeomba upige picha, rumor has it. πŸ˜‚πŸ˜‚ who knows,? πŸ€·πŸΎβ€β™‚οΈ. Shut the *** up Bro. You are not any better..


Wewe ni mpumbavu tu mimi nakuchulia πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Heb post picha yako nikuone we mnuka mavi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hii hapa ndio post yangu. Nilikuambia unipostie picha yako ukiwa tu nje ya Tanzania nami nikupostie nikiwa Ulaya na Marekani, umeshindwa. Umebadilisha magoli hadi ukamwendea Nairobiwalker eti apost picha yake, akapost bado unashindwa kupost yako. Ni kipi unaogopa wee kinyangarika?

 
Ukiangalia hawa watu wawili wanakaa kuwa level moja kweli? Hivi huoni mmoja ni fukara na mwengine anajiweza?

How can you compare the picture of me I posted in 2018 Vs his current picture.? Zipo picha za 2019 ambazo pia naonekana much better than this guy. Post them πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wewe ni kimbwelu, you not beautiful, are you.? No.. that’s why you can’t share your ugly face here.. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
How can you compare the picture of me I posted in 2018 Vs his current picture.? Zipo picha za 2019 ambazo pia naonekana much better than this guy. Post them πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona umekubali yako iko down. Haya tupostie current ama niambie Teargas atuletee your current maana anajua IG page yako? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Naona umekubali yako iko down. Haya tupostie current ama niambie Teargas atuletee your current maana anajua IG page yako? πŸ˜‚πŸ˜‚
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ IG page yangu unaijua.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ I’m not using that page no more.. it’s abandoned, go check out the last time I posted. naona umeomba usaidizi Pekeako huwezi..
 
Hii hapa pia alisave miaka tatu? Unajua bei yake? πŸ˜‚πŸ˜‚.
 
Unadhania unatingisha mti kumbe unatingisha makalio yako,
jamaa amekuwekea gadgets tatu ambazo zinafika tshs 20million vipi post zile viatu vyako angalau usipigwe kizembe namna hii πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…