Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Bongolala, I have asked you to show me any building in Nairobi or Kenya in general being developed by a tanzanian or tanzanian company. Acha kuniletea taarifa za mradi uliokwama wa Kawe
Kawe ni mradi uliokwama.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ordinary kenyan ndio hawawezi shindana na wabongo wa kawaida kabisa. Kwasababu nyie vima mtu wa kawaida huko ni yule hamiliki chochote, hadi Nyumba ni ya kupanga. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wewe unamiliki dreamhouse hapo gongo la mboto unataka ushindane na mkenya anayenunua nyumba ya maana kwenye apartment block?

Jiulize ni Kwa nini apartment blocks with units for sale zinainuka kila kuchao Nairobi wakati Dar ni hadimu
 
Ni pesa kiasi gani kaka blaza? Kama mwekahazina wa Simba, tunakuomba utujulishe
 
Wewe unamiliki dreamhouse hapo gongo la mboto unataka ushindane na mkenya anayenunua nyumba ya maana kwenye apartment block?

Jiulize ni Kwa nini apartment blocks with units for sale zinainuka kila kuchao Nairobi wakati Dar ni hadimu
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Nimeshangaa sana watanzania wakisema tsh 45000 ni pesa nyingi kwa jerseys. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Hao white settlers wako wapi siwaoni mimi na nimetembea kenya πŸ˜‚
 
Hao white settlers wako wapi siwaoni mimi na nimetembea kenya πŸ˜‚
Without wazungu, hata hizo international outlets wasingikuja kuwekeza hukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chochote mnachotamba nacho hapa ndani, ni investment za wazungu kwaajili ya wazungu in kenya. Prove me wrong. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwako wewe ni pesa nyingi ndio πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Tena nyie watu wa mombasa ndio mnyamazee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mana mombasa ndio imeoza kwa umaskini uliokithiri.
Nimewaskia watanzania wawili hapa hapa ndani wakisema hio bei iko juu nikakimbia kugoogle nikapata ni tsh 45,000. Nilicheka kwa dharau sana
 
Without wazungu, hata hizo international outlets wasingikuja kuwekeza hukoπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ chochote mnachotamba nacho hapa ndani, ni investment za wazungu kwaajili ya wazungu in kenya. Prove me wrong. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kama kuna biashara kenya yenye returns za haraka ni apartments. Hii ni kwasababu ya big middle class. Kampuni zote zinazojenga ni home grown. Affordable housing mukuru slum
 
Kama kuna biashara kenya yenye returns za haraka ni apartments. Hii ni kwasababu ya big middle class. Kampuni zote zinazojenga ni home grown. Affordable housing mukuru slumView attachment 3062285
Unaweza leta local investment za hizi affordable housing tulinganishe na zilizopo bongo then tuone zipi nyingi.? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
With no white settlers in Kenya, the apartments you are bragging of could have remained vacant. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚tunawajua wakenya mzaee, Tunawajua πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Maneno ya kujifariji tushazizoea. Kwamba nyumba zote for sale in nairobi zinanunuluwa na wazungu? Do you have any proof?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…