Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

lol.....everything against them
....LDC kweli
f31c9a52d014246fd975a7d5b702b05f.jpg
 
ndinda umeua panya kwa jembe.

Naomba umjulishe kadoda kwamba umepata siraha nyingine ya kupigia nyang'au kichwa.

Namuona kwa mbaali kamanda wa GSU akiangalia sofa linaloning'inia ghorofani
ha haaa......nimecheka sana
 
Hapo ni Kericho, haiwezikani iwe Nairobi hapo, Nairobi ipo level ya Cape Town, haiwezikani hayo mazingira yakawa ni Nairobi
halafu nimegundua hilo jengo lao lenye antenna juu sio lefu kiivyo,ni fupi.

sema tu huwa wana li-overrate kwa picha za mbali ili lioneke babkubwa kumbe hivyo.
 
halafu nimegundua hilo jengo lao lenye antenna juu sio lefu kiivyo,ni fupi.

sema tu huwa wana li-overrate kwa picha za mbali ili lioneke babkubwa kumbe hivyo.
Hawa watu lazima uwafahamu vizuri, wanapenda sana sifa za kijinga, kwahiyo wanalazimika kusema uongo muda mwingi ili kujitafutia sifa, hawa kiboko yao ni alshabaab, waliingia Somalia kwa mbwembwe sana, sasa hivi kila mwanajeshi wa KDF kabla ya chupi huwa wanavalishwa pampers kwasababu wakisikia alshabaab wanakuja huwa wanajiharishia sana
 
Wanakuambia investors wanajenga Towers halafu government yao inajenga infrastructure, Imagine Kama Ndio Plan ya Nchi kufanya hivyo , wanaidhalilisha CBD mpya hivi? Yaani kuna nguzo za umeme ambazo zimejaaa matangazo ya waganga wa jadi ( Matangazo ya waganga wa Jadi ndani ya moja wapo ya CBD tano za Middle income country (Lower Middle income)

Hapo watakuambia waganga wana hustle ni entrepreneur spirit ya Nchi.

Au watakuambia hao waganga ni watanzania
Mkuu kwa heshima ya sherehe ya uhuru wa tanzania,nipee huyo nyang'au hapo chini picha mbili za samora na ktk hilo jengo ameweka.
Hiyo samora ukipewa pichaa saa hii uone pakoje.utameza panado ukalale.

Wacha nikuitie

Cc NDINDA.
 
kwa siku 5 mfululizo thread haijawa friendly kwa wakenya....kila plan wanayokuja nayo inafeli.

walikuja na plan ya nairobi + mombasa vs dar es salaam,dar ikaibuka mshindi.

wakaja na plan ya nairobi vs kariakoo, kariakoo ikaibuka mshindi.

wanataka wajaribu nairobi vs upanga ila wanaogopa cos wanajua kwa vyovyote vile upanga itashinda.
 
Wakijaribu upanga watatoka bila chupi 😀😀
 
Let me bust your bubbles, That area is very different now. Too bad you guys like to post things that you were supposed at least to do a little reserach, matokeo yake mnadhalilika na mnaonekana hamnazo. Kuna post juu umepost hadi picha za kahama😀

You posted a very old photo of the area that has already transformed.

3920a70c949f5a99632c1ce14b22cc07.jpg

see the photos below

24232043_2057448571141120_8049842265479929363_n.jpg

23915765_2057448581141119_5399535854976313605_n.jpg

24067952_2057448647807779_3740183237396653023_n.jpg

23916021_2057448681141109_879326672580893908_n.jpg

Back
Top Bottom