Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.Wanavyomtukana sasa Binti ya watu. Kisa kasema ukweli...wao wanataka uwasifie tu.
Waache wazidi kudanganya Dunia....na hakuna mradi wa maana hapo Nairobi unaoendelea...
Green park Terminal ilishatelekezwa...mabasi yanapark popote huko Downtown..ni pachafu balaa...kuanziw archive kote huko mpaka gikomba kuna harufu za ajabu ajabu...
Baadhi ya Barabara za CBD zinaleak sewage mfano hiyo Moi Avenue..
Uhuru park walioifungua kwa mbwembwe ilichomwa kwenye maandamano sasa imefungwa...
Barabara ya chini ya expressway ni aibu ya Dunia. Haina mitaro wala sidewalks
Barabara za kilimani,lavington...kimsingi westlands subcounty barabara zake nyingi ni aibu. Panapendeza juu tu sio kwa ground.
Thika Road ukiachana na hio mainroad huko mitaani ni aibu kuanzia kahawa, Roysambu, muthaiga, mathare, nk nk
Stendi kuu ya Downtown karibu na globe flyover ni matope matupu..
Wako wanajitapa mbele ya Dar ambayo Posta barabara nyingi zinafumuliwa kuwekwa BRT...
but no AFCON opening and closingBut FIFA and CAF approved stadia
Hiyo iko kwenye mipango ila naona wamechelewa kidogo kuanza hiyo kazi.Itabaki nyaya za umeme tu. Tanesco wafanye kitu angalau posta yote waweke mfumo wa underground...
Huyo huwa hajielewi. Hata ukimjibu atakachokujibu back utajua uelewa wake uko chini sana.The fact that you can mention Muthaiga in the same sentence with bad roads means you have no idea about Nairobi or what Nairobi is like. Toka hapo Tandale utembee utajua dunia.
Scripted picks and edit for viewership. Nani analipa 6k kusukumiwa gari 😂Yale mazingira ya mle ni eritrea?
Alipokuwa anaongelea jinsi JKIA inavuja mlimchukulia kuwa hero, leo hii amekuwa mbaya? Yani mnamheshimu mtu tu anapoiongelea Kenya vibaya? Ngoja siku atawaamulia hapo bongolala mtapasuka.wewe mpumbavu nenda kanyonye kwa mamaako! Huyo Madowo angefanya coverage ya KQ pia na si kushupalia ET! Sisi tumlilie Madowo? Hell no!
Picha za leo, kachiri bado zinauzwa (bottom right) viti nonfoldable, race track imewekwa zege, fence ndani ya uwanja. EQUITY BANK imejaribu kuwainua lakini nguruwe hapendezi 😂😂😂Picture ya mwaka gani hii?
View: https://x.com/azamtvtz/status/1819735412597793239?t=TaPHps33HkNMZOQnpr1YeA&s=19
Lilivyo papai halioni kama uwanja upo under maintenance 😅😅
Mapapai kazi ni kuokota okota picha. 😂😂😂Lilivyo papai halioni kama uwanja upo under maintenance 😅😅
Kubalini ukweli wenu muwe huru,mnafake sana maisha wakunya 😂Scripted picks and edit for viewership. Nani analipa 6k kusukumiwa gari 😂
Bila China msingekua na Expressway, Talanta, GTC building, SGR (Fossil), anything you brag here.Bila World Bank Tanzania haingekuwa na interchange. You should thank those people😂🤣
Uwanja uko kuleee na mashabiki wamekaa kuleee. 🤣 🤣 🤣Picha za leo, kachiri bado zinauzwa (bottom right) viti nonfoldable, race track imewekwa zege, fence ndani ya uwanja. EQUITY BANK imejaribu kuwainua lakini nguruwe hapendezi 😂😂😂View attachment 3060648
Iran.Which country is this?
Hii ni station gani kenya!
Long distance relationship 😂😂Uwanja uko kuleee na mashabiki wamekaa kuleee. 🤣 🤣 🤣
We mbwa unaweza niambia wakati wa Magufuli kuna public transportation iliyokua inakwama kwama chini ya Government?Kwa nini roho iniume? Mimi sijawahi kubaliana na Sgr since day 1 ,tumepigwa na kupoteza hela.
a)13T za Ndege 14 ,Barabara km 9,000
b)10.5T za Sgr km 700 Barabara km 6,000
Saizi tungekuwa tunazungumzia lami takribani km 15,000 Kwa investments ya 23.5T iliyomwagwa kwenye miradi ya Maonesho, cosmetic projects.
As we speak Tanzania ingekuwa.juu ya Kundustan Kwa Uchumi ila Kwa kuwa hamna akili ya kufikiria kipi kianze na kipi kifuate na lini ndio maana mnashangilia ujinga 👇👇
View: https://twitter.com/Mwanahalisitz/status/1819110185480474692?t=_qVsO48V6sF8D4m2t00mgA&s=19
Ukiona mtu anatukana hovyo ujue ana ombwe la akili.We mbwa unaweza niambia wakati wa Magufuli kuna public transportation iliyokua inakwama kwama chini ya Government?
Usitake kutuletea udhaifu wenu kwenye Mambo ya Magufuli.
Port Magufuli aliiweza ila nyie mmeshindwa hadi kuleta DP WORLD, ADAN PORT.
Vivuko Magufuli aliviweza ila nyie mmeshindwa hadi Azam awasaidie.
BRT ilikua inapiga kazi vizuri tu round the clock, ila nyie mmeshindwa.
Umeme ulikua hausumbui nchi nzima mpaka nyie machawa kuingia ulikua kama enzi za kikwete hadi JNHP ikawaokoa.
Upungufu wa dola, mifumuko wa bei mmeshindwa dhibiti.
Ikiwa hayo yote mmefeli msitake kusukumia SGR kwa Magufuli, kama mnataka barabara si mjenge, mbona kipindi chake miundombinu ilikua inajengwa.
Kufeli kwa SGR ni ujinga wenu na serikali ya machawa kusifia which inaipa sifa mbaya nchi kuwa unreliable.
Muda huu kipindi cha mzee Kadogosa, Mbarawa wasingekua ofisini.
Hebu nielezee kwa kiswahili basi. Mimi sio muingereza. Wala sijawahi fika huko England.Umesoma nilichoandika ukaelewa ama Kiingereza hukijui kama ilivyo kawaida yenu?