Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kulingana na mbwa za kusini ungewaskia "wanaigeria wanatuibia mtangazaji wetu" Hizi hua ni banter za online tatizo mbwa wa kusini ni inferiority

View: https://twitter.com/has_cum_again_/status/1819382067160916260?t=Kl7FakoWkLbv9S71OTYX7g&s=19
Wiki nzima bungeni wangekuwa wanatujadili. Hawa watu bana. Kuna mjinga mwengine kwa jina Master J mtu ana miaka 50 lakini vijana wadogo wa Kikenya wakipiga banter lazima umsikia akija na makasiriko. 🀣 🀣
 
Maybe the trains need viagra β€¦πŸ€£πŸ€£
 
Scripted πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Hio video ni kenya au sio kenyaπŸ˜‚πŸ˜‚.....

Mtadanganya dunia mpaka lini?
 
Wanabaa huko maporini kuwa na worse roads wakati nyuma tu ya JKIA ni worse than Juba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


View: https://youtu.be/GOxTeti398g?si=RIFAnUnQv4yAacfZ
 
Comments za kunyan kwenye hiyo documentary zinaakisi akili za kikunya,wanakataa hayo si maisha ya wakunya while clip imechukuliwa kunyaland,wengine wanakuambia hiyo ni script πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanabaa huko maporini kuwa na worse roads wakati nyuma tu ya JKIA ni worse than Juba πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…


View: https://youtu.be/GOxTeti398g?si=RIFAnUnQv4yAacfZ
Wanavyomtukana sasa Binti ya watu. Kisa kasema ukweli...wao wanataka uwasifie tu.

Waache wazidi kudanganya Dunia....na hakuna mradi wa maana hapo Nairobi unaoendelea...
Green park Terminal ilishatelekezwa...mabasi yanapark popote huko Downtown..ni pachafu balaa...kuanziw archive kote huko mpaka gikomba kuna harufu za ajabu ajabu...

Baadhi ya Barabara za CBD zinaleak sewage mfano hiyo Moi Avenue..

Uhuru park walioifungua kwa mbwembwe ilichomwa kwenye maandamano sasa imefungwa...

Barabara ya chini ya expressway ni aibu ya Dunia. Haina mitaro wala sidewalks

Barabara za kilimani,lavington...kimsingi westlands subcounty barabara zake nyingi ni aibu. Panapendeza juu tu sio kwa ground.

Thika Road ukiachana na hio mainroad huko mitaani ni aibu kuanzia kahawa, Roysambu, muthaiga, mathare, nk nk

Stendi kuu ya Downtown karibu na globe flyover ni matope matupu..

Wako wanajitapa mbele ya Dar ambayo Posta barabara nyingi zinafumuliwa kuwekwa BRT...
 
Comments za kunyan kwenye hiyo documentary zinaakisi akili za kikunya,wanakataa hayo si maisha ya wakunya while clip imechukuliwa kunyaland,wengine wanakuambia hiyo ni script πŸ˜‚πŸ˜‚
Waache waendelee kujiita developed, advanced country sijui with best roads in East Africa...watashtuks hata Burundi imewazidi.
Burundi barabara wanazojenga sasa zina viwango kweli kama hii inayotoka manyovu kigoma kwenda Bujumbura kupitia nyanza inajengwa vzr kweli. Hapo hujaesabu SGR itakayokatiza Burundi
 
Nimesikia "The ice will expire" πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…