babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,439
- 36,069
Hii ya BRT walichukua 2021 ila hadi leo hakuna BRT na pesa wamekula. 😂😂😂Iwe pesa za ndani au vinginevyo, usimamizi wa hizo fedha ni wa hali ya juu na ndiomana tunawatoa jasho. Vipi mikopo lukuki mnayochukua miradi Iko wapi? Now Tanzania isn't your level na tunadhihirisha Hili kwa vitendo. NA BADO
When? Tangu lini reli zikajengwa kusubiria? 🤣🤣Sio madini tu, pia upande huu wa DRC ndipo penye population kubwa ya DRC kwa hiyo SGR yetu itapata mzigo mkubwa on both ways, go and return kwamba tutatoa shehena kubwa ya madini na tutapeleka shehena kubwa ya mahitaji
View attachment 3060427
Huyo ni tiagesi wa Tz, kichaa kabisa.
Pesa za kujenga mpaka hapa Kindu zimeshapatikana, Kindu ndio Dodoma ya DRC na kutajengwa dry port kubwa sana Africa hapo ndio mizigo ya nchi nzima itakua inafika, tupo very strategic hatujakurupuka, DRC peke yake inaweza kulipa cost yote ya SGR in less than 5 years of operationsSio madini tu, pia upande huu wa DRC ndipo penye population kubwa ya DRC kwa hiyo SGR yetu itapata mzigo mkubwa on both ways, go and return kwamba tutatoa shehena kubwa ya madini na tutapeleka shehena kubwa ya mahitaji
View attachment 3060427
Kusubiria nini?When? Tangu lini reli zikajengwa kusubiria? 🤣🤣
Mzigo,reli mliyojenga itabeba nini na lini kurejesha gharama?Kusubiria nini?
Na hii export huwa inatoka DRC ya wapi?Mzigo,reli mliyojenga itabeba nini na lini kurejesha gharama?
Huko unapopataja hata Serikali hakuna ,ni vita toka uhuru
Too many matarajio,reality hakuna
Nimesoma hiyo article editor alivyoiforce Kunyaland ihusike kwenye sgr financing yetu inaongea mengi sana walivyo desperate na Tanzania 😂😂😂 Yaani utumbo mtupu ndio maana wanaitwa githeri media
Yan wao wanyimwe mkopo wa sgr ya diesel na mchina naivasha-malaba then watukopeshe sisi!hiyo pesa kwann wasiendeleze sgr yao,but ni kawaida yao kila kizuri chetu uwa wanataka ionekane na wao walishiriki 😂😂Nimesoma hiyo article editor alivyoiforce Kunyaland ihusike kwenye sgr financing yetu inaongea mengi sana walivyo desperate na Tanzania 😂😂😂 Yaani utumbo mtupu ndio maana wanaitwa githeri media
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?Na hii export huwa inatoka DRC ya wapi? View attachment 3060446
Ulitakiwa ujiulize Sasa kwamba kama haipiti Tanzania inapita wapi?
Je unadhani ukijenga Sgr ndio itaacha kupita huko inakopita ije huku Bongo?
Reli yenyewe inategemea Huduma za DRC ku extend Hadi kwao ndio iwe na maana.
Mwisho huko mnakosema itaendelea hakuna hata Serikali,hiyo reli itafikaje? Sgr mliyojenga Kwa Sasa Ina faida gani?
Haiwezekani na alishasema kwamba tayari 14T zimeshakwenda kuacha ni hasara mara 2 so lazima iishe..Mwambie Mama warudishe hela wakupe ujenge unacho kitaka
Tarehe 8 ndio siku yenu yakuchapana viboko😅Bado hamjasema vizuri Uto View attachment 3060449