Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kwa sababu wewe na balozi hamna akili.
 
Waliuziwa mtumba. Chats from passengers inside stalled trainπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Sasa kama national coverage ya stima Tanzania yoye ni 35% ya taia, unaexpect SGR itatoa stima wapi?
Wahadza msituni Danganyika hawajui ata stima ni nini wanakula na kuvaa Kima tu
Hehehe alafu walidanganywa ati hizo trains zitakuwa na battery zenye uwezo wa kutembeza trains kilomita kadhaa, kumbe ilikuwa tu battery ya kuwasha taaπŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Train imekwama msituni abiria wanalala sakafuniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£.

Hawa ni wenye walikuwa wanangoja train warudi nayoπŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

 
Waliuziwa refurbished trainsπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…