Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Alshabaab hutumia explosives in 90% of their attacks.....hii summersault tuwachie wa china
hasa wewe. unadhan wakiwa uwanja wa vita wanashow hizo vitu ovyo ovyo hivyo votu vitu hutumika pale unapokutana na enemy face to face....acha ushamba wewe
 
.
Nashangaa sana wakati tunaongelea hoteli za kitalii, tuliambiwa kuwa Zanzibar haiko Tanzania, sasa imekuwaje leo iwe sehemu ya Jamhuri ya muungano?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
kweli hatukimbii
tatizo lako unalazmisha picha zingine ziwe dar sasa hapo nikikuuliza picha ya mwisho na ya kwanza na ya tatu hapo ni wapi???
Hebu nijibu ni wapi hapo maana usitafute picha za miji mingine alaf ulazmishe iwe dar wewe kama msumari umekuingia tulia tu na uvumilie,
na labda nikufundishe kitu dar hakuna kijiji/village
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…