Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,178
- 107,766
Unatujua wewe? SGR watu wanapita kwenye mitaro na culvert! ujingajinga mwingi! BTW VETA wapo Kigoma sasa sijui inakuwaje hii maneno!Hio Barabara ya Aina hio ni mpya kigoma mzee hata flyover ilipokua inajengwa dar kuna ishara na elimu ilitolewa, mbona kwenye Kodi munatoa elimu 🤣🤣🤣
IndeedShida sio kuongozwa na CCM shida ni unaongozwa na Nani ndani ya CCM 🤣🤣
Initial runs gani?🤣🤣 Yani abiria wanalala porini kama Wanyama pork🤣🤣👇Bado tunaisikilizia kwa initial runs mpaka mama azindue hayo ni matatizo madogo madogo ya kutatua kama ticketing etc.
Walikua wanapita kwenye mitaro before uzio kuwekwa hvi SASA uzio unawekwa hawawez kupita tena na zile underpass zote ziko kwenye final, mm natoa ushauri waongeze daraja za watu za kuvuka upande mmoja kwenda mwengine na izibwe kabisa juu chiniUnatujua wewe? SGR watu wanapita kwenye mitaro na culvert! ujingajinga mwingi! BTW VETA wapo Kigoma sasa sijui inakuwaje hii maneno!
Hao ndio wamelala?😎
Tulishatoka huko mzee. 🤣 🤣 🤣
Huku nilikuwepo majuzi.
Ohk nilishtuka kidogo!Huku nilikuwepo majuzi.
Huyo anaeongea ni mpotoshaji au ndo haijui hii barabara.. hii barabara ya kulia ndo ya zaman.. ile ya kule kushoto ni mpya haijafunguliwa.. barabara ya kushoto kwa mbele kuna ofisi nyingi za serikali hata ya mkuu wa mkoa ambapo mbele yake kuna sehem wamefunga, so magari yanayopita kule yanaishia kweny hizo ofisi au yanakatiza mitaa ya hukohuko kushoto kbl hawajafika sehem walipofunga
Hilo ni kundi la kipara na wenzake wanajaribu kuikwamisha Serikali. But tunaendelea siku zao zipo watu wanazihesabu.Huku nilikuwepo majuzi.
Huyo anaeongea ni mpotoshaji au ndo haijui hii barabara.. hii barabara ya kulia ndo ya zaman.. ile ya kule kushoto ni mpya haijafunguliwa.. barabara ya kushoto kwa mbele kuna ofisi nyingi za serikali hata ya mkuu wa mkoa ambapo mbele yake kuna sehem wamefunga, so magari yanayopita kule yanaishia kweny hizo ofisi au yanakatiza mitaa ya hukohuko kushoto kbl hawajafika sehem walipofunga
Kwani wamesema wamekata waya? Inawezekana kapigwa shoti kituo cha umeme circuit ikakataHizi ni hujuma ngedere hana uwezo wa kukata nyaya ya umeme