Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.
Treni za umeme hata za ulaya huwa zinafanya hivyo zinapopita kwenye neutral zones ambapo source ya supply ya umeme inapobadilika.
Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccmNimeona kondoo zimechekelea hadi gego limeonekana. 😂😂😂
Hitilafu ya kawaida now treni iko njiani inapiga mzigo kama kawaida.
Hiv kwa nini watu wanafurahi sana mambo yakiharibika....hata waandishi wa habari wanapenda habari mbaya mbaya kama hizo. Sijaona hata mwandishi mmoja akifanya full tour ya hizo treni za umeme ukiachana na Private YouTubers kama Explore with Bertin, mkenya macharia nk...vyomba vya habari vikubwa hata kutumia Dk ishirini kufanya full coverage ya treni hizi utasearch hutapata zaidi ya kuona wanasiasa tu wanaongea kwa mdomo. Hawaonyeshi hata treni inafananajeMimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm
Upo kama mimi tu. 😂😂😂Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm
Wale ndo wabinafsi zaidi...wao kazi yao kukosoa kosoa tu mitandaoni bila hata kutoa solutions...na mbaya zaidi wanaitangazia Dunia kuwa mambo sio mazuri nchini kwao....kuna mambo mengine unakausha tu. Mbona ulaya mambo mabaya yao huwa hawasemi...mshaona mji wa New york ulivyokuwa mchafu siku hiz, metro ni chafu zimejaa mateja. Ushawahi ona hata CNN wanatangazia dunia hayo mambo. Hata ukiipost YouTube. YouTube wanaifuta hiyo video.Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm
Hiv kwa nini watu wanafurahi sana mambo yakiharibika....hata waandishi wa habari wanapenda habari mbaya mbaya kama hizo. Sijaona hata mwandishi mmoja akifanya full tour ya hizo treni za umeme ukiachana na Private YouTubers kama Explore with Bertin, mkenya macharia nk...vyomba vya habari vikubwa hata kutumia Dk ishirini kufanya full coverage ya treni hizi utasearch hutapata zaidi ya kuona wanasiasa tu wanaongea kwa mdomo. Hawaonyeshi hata treni inafananaje
Hii roho ndo inazuia waafrica tusiendelee...umaskini ni mbaya sana aisee. Na kuundoa tunahitaji Exposure na akili kubwa kuanzia kwa Viongozi wa juu
Hivi kulikuwa na watu wanakataa kuwa train haikupata tatizo? Zinapata tatizo ndege itakuwa treni?!!! Life goes on....bahati ilikuwa trip ya mwisho so haikusababisha delays kwa wengine. Treni ya leo Dodoma-Dar ilishafika on time, mambo yanaendelea kama kawaida.
Hio hio leo asubuhi on time iko Dar from Dodoma. Inasubiri jioni ichape mwendo tena.Nimeona kondoo zimechekelea hadi gego limeonekana. 😂😂😂
Hitilafu ya kawaida now treni iko njiani inapiga mzigo kama kawaida.
Hao ndio watoto wa viongozi wa zamani. Wakikosa vyeo wanaanza kuichafua Tanzania. Generation yao ndio inakwisha hivyo. Mpala 2030 watakuwa wamechoka.Hivi kulikuwa na watu wanakataa kuwa train haikupata tatizo? Zinapata tatizo ndege itakuwa treni?!!! Life goes on....bahati ilikuwa trip ya mwisho so haikusababisha delays kwa wengine. Treni ya leo Dodoma-Dar ilishafika on time, mambo yanaendelea kama kawaida.
Uliwaona wamelala?😎...abiria washaanza kulala porini😂😂😂
Hio Barabara ya Aina hio ni mpya kigoma mzee hata flyover ilipokua inajengwa dar kuna ishara na elimu ilitolewa, mbona kwenye Kodi munatoa elimu 🤣🤣🤣Watu wabishi tu! Kama una leseni si suala la elimu! Naamini kila anayeendesha ana leseni!
Shida sio kuongozwa na CCM shida ni unaongozwa na Nani ndani ya CCM 🤣🤣Mimi siipendi ccm ila upinzani ndio siupendi zaidi,yan ni bora hao ccm