Battle: Dar es Salaam vs Nairobi


hilo la behewa la 1 hadi 24 umeongeza chumvi, sidhani kama hiyo platform ni ndogo hivyo kiasi cha kukava behewa moja tu, nilichotaka kusema ni kwamba wewe labda kama mimi pia hauna facts zote hivyo siyo sawa kuhukumu watu waliofanya kazi kubwa na kuwaita β€œwapumbavu” kwa sababu tu matokeo ya kazi yao hayajakuridhisha, wamefanya kazi kubwa hata mpaka leo hii teni inatembea na inabeba watu, ina mapungufu? ofcourse ni kawaida, unajua waliotaka launch space vehicle into space ili fail mara ngapi mpaka kuja hata ku take off sucessful? tuwape muda kwanza nafikiri bado hata wako kwenye majaribio …
 
Kuna vitu si vya muhimu kama kuwa na ma-canopy marefuuu juu ya platform.. ikumbukwe kuna wanaopenda pia kuota jua na kupata vitamin D tembeleeni stesheni za nchi zilizoendelea mtaona! Hivyo ni vitu Mchina alimpumbaza Mkunya!
 
Kuna vitu si vya muhimu kama kuwa na ma-canopy marefuuu juu ya platform.. ikumbukwe kuna wanaopenda pia kuota jua na kupata vitamin D tembeleeni stesheni za nchi zilizoendelea mtaona! Hivyo ni vitu Mchina alimpumbaza Mkunya!
Wewe una angalia jua tu je mvua na mizigo unayo beba mbona BRT STEND NI NDEFU SANA SI ILITAKIWA ZA TRENI ZIWE MARA 4 YA BRT
 
Ya dodoma ina cover mabehewa kama 4 au 5 tu na hiyo treni inaweza kuchukua mabehewa mengi sana ilitakiwa hiyo platform iwe 1km si vinginevyo ....pia yakenya imejengwa kisasa hata sakafu tofauti na yetu sehemu ya kupandia sakafu ni mbaya huo ndiyo ukweli ...pesa zilitosha kufanya hayo yote vizuri kabisa
 
Tutaongea ukweli kama kuna makosa tutasema na kama kuna mema tutasema pia, lakini hatuwez kua ni WAtu wakusifiankila kitu bila kukosoa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Hawa wakenya unawaona Leo wanachapana ni kwasababu wakisifiana Sana wakadanganyana Sana, wanaficha maradhi SASA umauti ndio unawaumbua, so na Sisi tusifike hio stage ya kusifiana Sana tukaficha maradhi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Yangu ni hayo mtoto WA mama
 
Hivi hakuna uwezekano wa kupita ndani ya treni na kutokea behewa jingine? Nauliza tu kujua
Upo ila vurugu zake siyo za kitoto hadi vibaka watakuja kuondoka na mabegi ya watu ni swala la muda tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…