Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Njaa huko kenya imeshika hatamu

1722080275887.png
 
Mkuu mpaka nikajiuliza kwa nini hawajajenga kama hii Dar? Dodoma SGR station ni nzuri sana.
Kaka Dodoma station ni nzuri mara 100 ya Dar, tofauti ni kwamba Dar station ni nzuri kuliko zote EA except ya Dodoma, tulikuwa tuna share picha za Dodoma station tangu enzi zile za Magufuli, hawa mbwa wa Kenya walifikiri tunatania, leo kitu kimekamilika wamebaki kumtuma teargass awapoze machungu ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Hata mimi nitashangaa Tanzania kumpa mpinzani wake nafasi ndani ya eneo la kujidai, amwache afe kifyake
Northern Corridor iko kwenye CoW wabaki na CoW yao sisi sio ngombe tuko unwilling ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Hiyo route ije kuruhusiwa pale tuu ambapo yakifanyika yafuatayo,

1.Barabara ya Tanga -Handeni-Kibaya-Singida ikikamilika.

2.Sgr ya Tanga-Arusha-Musoma na Bandari yake vikikamilika.

Ila kuiruhusu Sasa hivi ni kwamba tutakuwa tumejifunga goli la mkono Kwa kuwaondoa Rwanda,Burundi na Uganda Dar port.

Tukikamiliwha hizo routes hapo Juu tutagawana vizuri na sie tutakuwa na share kubwa ikiwemo kusafirisha mizigo ya South Sudan.
 
Nimemtupa ignore list huyo mbuzi. Kwasababu anaandika upuuzi ambao inabidi ufumue fuvu lake umuweke sawa. Sasa kuokoa muda wangu ni heri nisione pumba zake.
Huyu huwa naishi naye hivyo hivyo japo najua ni mpumbavu lkn ili niishi naye najiweka kwenye level zake za upumbavu, najua hakuna comparison kati ya SGR Tz vs SGR Kenya lkn naenda naye hivyo hivyo ili kufanya battle iendelee japo ni aibu kuendelea ku debate kuhusu SGR Tz vs SGR Kenya.
 
Back
Top Bottom