Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Sasa hiyo Government City kaijenga nani? Mbn hamkuwa mkiita government City before kujengwa na Magufuli, acheni mzaha. Hilo jina la mtumba kaiteni vijiji vyenu, hiyo Government City inaitwa Magufuli city mtake ndio hivyo msitake ndio hivyo ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwani wewe unaona kaijenga nani? Haina jina lake?

Ikiwezekana Chato yote iitwe Kwa jina la Magufuli ila Mji wa Serikali Mtumba usalie vile vile na jina lake la Asili.
 
Kwani aliyesema mji uitwe Jina la Mwendazake ni nani!?
Yani mji kuitwa Jina la muasisi imekua nongwa!?
Mbona ninyi mama yenu mnavyomsifilia kila jambo sisi hatubezi!?
Ni yeye mwenyewe so jina linatakiws libadilishwe.
 
Hizo ni options nyingi sana which is good ila kwa jirani all roads lead to JKIA huko kwingine kote hamna maisha halafu umene sasa watakuwa nao stable au ndio watatutia aibu za rejareja?
 
Basi jamani mbona issue ndogo hii.
Tuite Magufuli City, Mtumba.
Hapo vipi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ