Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hawa majamaa bana.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
I guess jamaa anapinga just because he canโ€™t bear the fact that it was Kenyan that designed most important buildings in Tanzania.

James Kimathi even wrote a book talking about his architectural work in Parliaments and on the Cover page is Tanzanian Parliament in Dodoma.

 
Miaka ya Uhuru bunge lenu lilikuwa Dar es Salaam, nikufunze hadi historia yako?

View attachment 3048492
Ona ulivyo huna akili.
Tanzania ilipata uhuru 1889!?
Hilo ni jengo la bunge la Germany East Africa Matako wewe.
Bunge la kwanza la Tanganyika ambalo Uingereza walikua wakilitumia 1929 ndilo sisi tuliendeleza kwa kulijenga upya baada ya uhuru miaka ya 1960s.
Bunge ambalo unalosemea wewe ambao K&M wamehusika ni lile lililokamilika renovation 2006.
Kumbe naongea na kichaa !?
 
Kimathi amefanya interior and exterior design to ya renovation ya bunge jipya.
Na hiko sio kitu kikubwa cha kuogofya.
Ila historia ya jengo namna lilivyo ni usanifu wetu sisi waswahili.
 
Kawafuatilie TSL vizuri tusibishane.
Ile ni kampuni inayohusika na masuala tofauti tofauti sio vifaa vya umeme tu.
 
Endelea kujifariji.
Bunge ni usanifu wa kiswahili mlichofanya ninyi ni ukarabati tu wa usanifu wetu basi.
The good thing unapingana bila evidence๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ‘‡๐Ÿ‘‡


You posted this screenshot but cropped out architect name๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

 
Dodoma Parliament was first constructed on 2006 from scratch in a new location. Hakuna cha renovation hapo.
 
Ushawasahau wangese walikua wanadai bus za brt wametengeneza wao,magufuli alifia kwao,ila cha ajabu terminus yao ya sgr pale naipori aifikii design ya magufuli bus terminal
 
Baada ya Marope kuliwa kichwa nashauri Serikali ifutilie mbali ule mradi wake wa kujenga Nairobi aliotaka kuchotea hela za kutafuta Urais.
 
Hii hapa ndio unaita renovation? ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ


Naomba unionyeshe hili jengo kabla 2006. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Kawafuatilie TSL vizuri tusibishane.
Ile ni kampuni inayohusika na masuala tofauti tofauti sio vifaa vya umeme tu.
Wewe wacha nikuache maanake unaonyeshwa yai unaambiwa hili ni yai wewe unabisha unasema ni jiwe. ๐Ÿคฃ ๐Ÿคฃ
 
Dodoma Parliament was first constructed on 2006 from scratch in a new location. Hakuna cha renovation hapo.
Anasema limekuwa tangu Uhuru yet Dodoma imechaguliwa kuwa capital mwaka wa 1996 na shughuli za utawala zimeanza kupelekwa huko majuzijuzi tu. Bunge la kwanza limefanywa Dodoma mwaka wa 2017. Yani huyu mtoto achana tu naye.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ