NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,278
- 19,616
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.Kama tunafatilia zenu sana, hapa Tz kuna mwanasiasa wenu yoyote alikua anapigiwa kelele kama ni Raisi wao kama huko kwenu kipindi cha Magufuli?
Kama hamfatilii mmejuaje CCM?
Kama hamfatilii mnajuaje Bunge letu limekemea kitu?
Na kama hujui Chochote kuhusu siasa zetu why unatuletea upuuzi wenu wa tiktok kisa Maandamano?
Nadhani nyie mtapona siku mkiacha kujipa UMUHIMU usio na faida, Ni miaka mingapi kila kukicha mnafanya Maandamano na matokeo yake nini?
You're very stupid.Swetie na wewe umeingia kwenye huu mjadala I wont be harsh on you as I do to other kimas.
Ordinary figures which have a decimal scale of 0 to 9 you can round of to the nearest number but time is different it is normally rounded off to the near quarter hour. For instance 3.25pm will be rounded of 3.30pm and not 4pm as you and et al seem to suggest.
What I am teaching you is used worldwide.
I hope utafunga account.Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
In Case ukireta ubishi wa eti mwaka huuI hope utafunga account.
View: https://youtu.be/TTXeR1J9U5M?si=8cwIhiA5agzrxilp
View: https://youtu.be/Ovl4QAdoTrI?si=_09nGLdJWzCTMjRX
View: https://youtu.be/npPgYL0-KnU?si=8nOnmAVh_mwd5DEV
View: https://youtu.be/edd4yb4p5WA?si=tMfiKgzQc6ryZTcx
View: https://youtu.be/6lLrmNgwXK4?si=WhKxtYe1cEWJdhkR
View: https://youtu.be/o0ISO77adx0?si=aIJMVwV_jpFcbSqe
View: https://youtu.be/JX-SCHqfKOY?si=46u9sYpVpnxs9KEX
View: https://youtu.be/sjdy9BUi9-o?si=GoaE3_CxBg5MdOCT
Huyo Vice President usiyemjua
View: https://youtu.be/Zqqv7Zx54zo?si=Z4HgVNkLnIohYH06
View: https://youtu.be/DdhPMks12NU?si=LnA-yoer9S-68Kzn
View: https://youtu.be/zYAiMGJEkTw?si=Dw8ze-cpAvKDeYo1
View: https://youtu.be/KxK5pNJnWG4?si=oejuHbtcC7Izbj9k
View: https://youtu.be/QEBrVdBZjIE?si=_-8N4jKzzIIK160n
Nimeleta major news huko kwenu usije sema nobody know.
Na msisahau suala la Corona mlihamishia vyombo vyote huku mpaka kuhoji wanasiasa wa upinzani, kujipa umhimu kua Magufuli yupo Huko anapokea matibabu, Kila mbinu yetu ya kupambana kuanza kuidiscuss.
Ukimaliza kusoma Potea mazima tusikuone tena. Tafadhali
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
We were talking about time rounding off here na sio numbers za kawaida. Time has a special formula for rounding off.You're very stupid.
Kwanza mimi sijaongelea to the nearest number bali to the nearest hour.
So if I tell you round off 55 to the nearest 100 utasema numbers are rounded off to the nearest 10 and not to the nearest 100?
Aliyeanzisha mjadala aliround off to the nearest hour, sawa wewe ubadilishe iwe to the nearest quarter hour kisa hutaki kukubali hujui hisabati? You're very foolish and uneducated.
Hesabu kama hizo zikifanyika kwenye sekta zingine kumhusu inakuaje Huwa mnatokwa na mapovu na kutaka kukimbiza mwenge? 😂😂😂😂
Sijui unacheka na nani, zipige tuone!Hesabu kama hizo zikifanyika kwenye sekta zingine kumhusu inakuaje Huwa mnatokwa na mapovu na kutaka kukimbiza mwenge? 😂😂😂😂
1.Miaka 5 ya Magufuli vitu vya Afya 360 vs miaka 3 ya mama vituko vya Afya zaidi ya 400Zipige tuone!
I'm not talking about reporting, I'm talking of discussing. Kiingereza huwa kimewapiga chenga balaa. Here is an example of a discussion.
Wewe ndio hujui maths. No wonder unatuletea hesabu zenye hazieleweki.😀 😀😀 Hamjui Maths. Endeleeni na #RUTOMUSTGO
Maths ni sauti ya Mungu. If the country do no know maths, itakuwa inasikiliza Mashetani
Nchi yenu inasikiliza demons
Must you be stupid? Who told you Magorofa yote yanaanguka because of the ratio of sand:Cement?Kama mnajua hesabu mbona huwa mnakosea ratio na maghorofa mengi kuanguka kila siku?
Hivi tunavyoongea hata makamu wa Rais wenu simjui. Naomba unionyeshe video moja mwaka huu media ya Kenya ikidiscuss siasa za Tanzania nifunge account.
Wewe ni mpumbavu unaesumbuliwa na ubishi na uongo. 😂😂😂 sijawahi kuona mtu mpumbavu kama wewe aisee.I'm not talking about reporting, I'm talking of discussing. Kiingereza huwa kimewapiga chenga balaa. Here is an example of a discussion.
View: https://www.youtube.com/watch?v=ZJGzM751LlE
Kwani ni uongo nikisema ati you bought second unreliable coaches from Germany?Kila kitu ni kuponda jema kwako lipo wapi, mengine kubali yaishe
What’s the answer of X=x+1 ?Onaona sasa hisabati hamjui kabisa.