Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Umeingia kwenye mfumo, si ulisema nipuuzwe 😬😬😬
 
Sasa mtu anaona 137 ni sawa na 92 ni mzima huyo? Sijui hata kama ashawahi ku drive maana hajui tofauti ya speed.
Wakenya wamechanganyikiwa wanaona kama ndoto. Wanatakiwa waondoke kwenye bumbuwazi. Is happening.

Kama vile USA hawataki kabisa kuamini.

Hii ni mbaya sana. Maandamano hayataisha kwao

Nakumbuka maandamano yao yalianza siku tuna launch SGR

Maandamano yao yapo mixed na kuona Tanzania inasonga mbele. Wanataka kulazimisha na wengine waandamane.

STUPID KENYAN
 
wacha upumbavu eti 80% ya workforce Hospitaity industry Wakenya umepata wapi hizo statistics? Unapenda kuzusha! Kwahiyo Arusha, Zanzibar na Kilimanjaro 80% ya Wafanyakazi utalii Wakunya! kweli? waacha ufala!
 
Hio ndio average speed kwenye kila treni.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ wew ulisema treni yenu inatumia masaa matano na dakika 10, (wote tunajua kuwa sio kweli ila tumekuacha ujifariji) sasa ikiwa treni yenu inatembea kwa muda huo kwa umbali wa km 480, je average speed itakua ni 100? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Express train huitaki, wataka intercounty inayosimama vituo 7 πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Unanifunza hesabu wakati ulikuwa hujui 3:20 ni sawa na 3.333hrs πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
wacha upumbavu eti 80% ya workforce Hospitaity industry Wakenya umepata wapi hizo statistics? Unapenda kuzusha! Kwahiyo Arusha, Zanzibar na Kilimanjaro 80% ya Wafanyakazi utalii Wakunya! kweli? waacha ufala!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…