Magonjwa Mtambuka
JF-Expert Member
- Aug 2, 2016
- 34,148
- 33,026
Sifa za kijinga-jinga😎Do you know why Kenya is always the big brother of Tanzania? It’s because you focus and draw inspiration from Kenya.
All Tanzanian media stations talk about Kenya. Your President usually rate Nairobi as half London.
View: https://youtu.be/ZJGzM751LlE?si=VM-wdT--h55lzbMV
Leo hii TPA imekuwa kijengo? Parliament yenu imekuwa Kijengo, your biggest mall imekuwa kijengo? 🤣 🤣 🤣Ku-Design vijengo viwili kusikutie ujinga!
Uongo upi sasa? Huoni huyo ni mfanyabiashara wa parachichi anasema parachichi zote zinapitia Mombasa?Acha uongo. AMA unadhani hatujui nyinyi ndio mnaiba avocado za Kenya?
View attachment 3043739
Mfano ni wapi hao?That’s the fact. Most startups in Tanzania have Kenyans as quasi founders.
BTW, Nyayo has been approved by CAF. I wonder mtakua mnapigia nini kelele sasa. 🤣 🤣 🤣
Leo!BTW, Nyayo has been approved by CAF. I wonder mtakua mnapigia nini kelele sasa. 🤣 🤣 🤣
List ya viwanja vilivyokula approval imepostiwa juzi tu, na hakuna uwanja wa taifa lenu la kipumbavu uliopata approval. Haya tueleze hiyo nyayo stadium imepata lini uthibitisho? 😂😂 au wewe umeendelea na tabia yako ya Ubishi na uongo?BTW, Nyayo has been approved by CAF. I wonder mtakua mnapigia nini kelele sasa. 🤣 🤣 🤣
Asante kwa habari ya 2020.Uongo upi sasa? Huoni huyo ni mfanyabiashara wa parachichi anasema parachichi zote zinapitia Mombasa?
Huyu mbunge pia anasema parachichi za kilimanjaro zinauzwa Kunyaland then packed to Kunyaland as Kunyaland produces, hamna uwezo wa kuizidi Tanzania kwenye kilimo cha parachichi
View: https://x.com/CloudsMediaLive/status/1260221231573467143?t=kbfLEAtEcr65d4b_MkS_Fg&s=19
Do you know the meaning of quasi?Mfano ni wapi hao?
Welcome back bro.👊🏾
Thanks.Welcome back bro.👊🏾
Teargas vipi, maandamano huko bado hamjavunjana miguu 😁
Tuoneshe mashamba mnapolima hizo avocadosAcha uongo. AMA unadhani hatujui nyinyi ndio mnaiba avocado za Kenya?
View attachment 3043739
Tulia bado nafasi 6 tu.Kwani hamjaitupita? January si ulikuwa unasema ati Tanzania ishapita Kenya😂😂
Mama ngina news corner 🤣🤣🤣List ya viwanja vilivyokula approval imepostiwa juzi tu, na hakuna uwanja wa taifa lenu la kipumbavu uliopata approval. Haya tueleze hiyo nyayo stadium imepata lini uthibitisho? 😂😂 au wewe umeendelea na tabia yako ya Ubishi na uongo?
So you admit we are better.. thanksBila kusahau Tanzania tunazidi kupanda,sasa hivi ni wa 114 Fifa rank.
Kenya 108 bado hatua chache tuwakute.