Umenikumbusha bodaboda wa highway za kwenda mikoani, wana adabu balaa. Wanaendesha pembeni kabisa nje ya mstari. Kwasababu wanajua wakileta ujinga watu wanapita nao na hawasimami.Binafsi naona wanakera city centre kuliko sehemu zingine kwakua magari hayakimbii. Kwenye highway kero inapungua maana wanakua na adabu kuhofia kifo. We tembea zako kuanzia saa nne uone bodaboda wanavokua na adabu, wengine wanatembea pembezoni mwa barabara kama baiskeli
Ila city centre ukitembea wanakatishakatisha bila woga
CAF approved stadium in Africa mukipata any stadium in Kenya munitag plz😁😁😁 wameshindwa hata na Uganda
Ile Azam complex iko hapa 👇👇👇👇
View attachment 3041234View attachment 3041235
Umenikumbusha bodaboda wa highway za kwenda mikoani, wana adabu balaa. Wanaendesha pembeni kabisa nje ya mstari. Kwasababu wanajua wakileta ujinga watu wanapita nao na hawasimami.
Acha kutetea ujinga. Anaanguka mara kibao, anapoteza kumbukumbu mara nyingi katikati ya speech na umekiri ni tatizo la old age. Apumzike.It’s an accidental slip of the tongue and he rectified it immediately… I know lately he’s under heavy public scrutiny after that awful debate… but this miscall is not one of them…..Trump has same issues too though more vigorous than Biden... it’s called old age…
Nyie mnapenda tu sifa za kijinga, waves kwa wajinga wenzenu. Mlikuwa mmelala kitambo sana sasa ugumu wa maisha umewaamsha.
Kwa lipi, kwa maandamano ya kudai ugali? Mna mengi sana ya kupanga na kupangua. Anzeni na land reforms kwanza kama mnataka kuona unafuu wa maisha.
Kwa hivo hao WaNigeria na Wazungu ni sisi? Huu ni wivu.😂😂Nyie mnapenda tu sifa za kijinga, waves kwa wajinga wenzenu. Mlikuwa mmelala kitambo sana sasa ugumu wa maisha umewaamsha.
Ardhi yote iko mikononi mwa Mama Ngina.
Land reforms zetu ziko sawa. Finance bill ilikuwa inaintroduce kama hizo zenu tukakataa. Wenzako wanaombaomba ila hamna ujasiri wa kuandamana.😂😂😂Kwa lipi, kwa maandamano ya kudai ugali? Mna mengi sana ya kupanga na kupangua. Anzeni na land reforms kwanza kama mnataka kuona unafuu wa maisha.
Nigerians share your life experience, nyie ni mbuzi wa zizi moja na Wanigeria. Wazungu wanafurahia machafuko Africa na mara nyingi wamekuja huko Kenya kwenye uchaguzi wakitafuta sehemu zenye machafuko bila mafanikio.Kwa hivo hao WaNigeria na Wazungu ni sisi? Huu ni wivu.😂😂
Huyu anatafuta kontent tu hana jipya, kafeli maisha huko alikotoka. Unafeli vipi ulaya ikiwa hata nyie mkienda kufua chupi mnapata hela mpaka za kutuma nyumbani?Land reforms zetu ziko sawa. Finance bill ilikuwa inaintroduce kama hizo zenu tukakataa. Wenzako wanaombaomba ila hamna ujasiri wa kuandamana.😂😂😂
View attachment 3041676
Nigerians share your life experience, nyie ni mbuzi wa zizi moja na Wanigeria. Wazungu wanafurahia machafuko Africa na mara nyingi wamekuja huko Kenya kwenye uchaguzi wakitafuta sehemu zenye machafuko bila mafanikio.
Huyu anatafuta kontent tu hana jipya, kafeli maisha huko alikotoka. Unafeli vipi ulaya ikiwa hata nyie mkienda kufua chupi mnapata hela mpaka za kutuma nyumbani?
Did you see his speech yesterday in Detroit , Michigan?… check it out..Acha kutetea ujinga. Anaanguka mara kibao, anapoteza kumbukumbu mara nyingi katikati ya speech na umekiri ni tatizo la old age. Apumzike.
😀 Wanakua na nidhamu ya hali ya juuUmenikumbusha bodaboda wa highway za kwenda mikoani, wana adabu balaa. Wanaendesha pembeni kabisa nje ya mstari. Kwasababu wanajua wakileta ujinga watu wanapita nao na hawasimami.
Kati ya vijana 10 wa kitanzania 9 wanamiliki ardhi kati ya vijana 100 wa kunyaland m1 tu ndio anamiliki ardhi,uhaba wa ardhi na jinsi wanavyozaliana ovyo ndio maana kila siku wanacreate new slumsNyie mnapenda tu sifa za kijinga, waves kwa wajinga wenzenu. Mlikuwa mmelala kitambo sana sasa ugumu wa maisha umewaamsha.
Ardhi yote iko mikononi mwa Mama Ngina.