Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ

Ukiona unasifiwa Sana basi Rudi chini ujitathamini kauli ya wahenga
Wacha umbumbumbu,wapi ukiambiwa kwamba hela zinakopwa Kwa Ajili ya lots ulizotaja?

My Take: Katika kitu kinanifurahisha na kunipa Raha ni kuona mnavyopata tabu na awamu ya 6 ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜

Yule mwingine wa Umeme Yuko wapi? Alitumbuliwa au? ๐Ÿคช๐Ÿคช
 
Niambie mm hakuna mkopo WA hzo lot 3,4 and 6 ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Au hatukukopa pesa kwa ajili hzo lots??๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…

Yule WA umeme aliwekwa na Nani??
 
Hivi hamna namna huyo tukamripoti kwa mods wampige pini kuingia kwenye huu uzi?
 
Ni upuuzi tu unaendelea mkuu, barabara haziishi miezi nenda rudi, huenda zisiishe mpaka 2030, alafu anakuja mpuuzi anaweka jengo moja la hospitali anaweka na # eti Samia kazi iendelee, hawa ******* wachache ni wakupiga risasi.
Yale madaraja ya vingunguti,majumba 6 na gomes yashafunguliwa walihaidi 10 july kuyafungua yan jana?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ