ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,557
- 90,001
Mama amegawa Ambulance Moja Kila Jimbo,kabla hajagawa watu unaowataja walikuwa wanatumia nini?ππWatu million ambulance Moja V8 Moja mtu mmoja
Sio Leo wala Kesho,mikopo iliochukuliwa awamu hii inatisha mzee π π π πLakini hata JK juzi alisema wapunguze bei ya umeme
Ndio unavoota hvo π π π πWaulize waliopigia kura Okavango delta ,Kuna mambo mengi ikiwemo hospitality.
Inasemekana Wageni wakija Huwa hawageuki tena
Basi kapige kura ubadili matokeo ubaoniNdio unavoota hvo π π π π
Mradi upi mkubwa ulijengwa bila Mkopo awamu iliyopita?Sio Leo wala Kesho,mikopo iliochukuliwa awamu hii inatisha mzee π π π π
Ambulance gani wewe π π π hakuna mtanzania mjinga SASA hviMama amegawa Ambulance Kila Jimbo
Wewe ni fala eti? ππAmbulance gani wewe π π π hakuna mtanzania mjinga SASA hvi
Kaka Una mwanasheria awamu hii inatakiwa usifie sio kukosoaπ π πWatu million ambulance Moja V8 Moja mtu mmoja
So magari 200 ndio yatatosheleza Tanzania nzima π π π π π hata magari 5000 hayatoshi badoMama amegawa Ambulance Moja Kila Jimbo,kabla hajagawa watu unaowataja walikuwa wanatumia nini?ππ
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1723222057004015957?t=oqmZwyM9aZpFx5MCXbsm6Q&s=19
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1447175319492956164?t=xckcQ8bF3KI6kIuH9truUA&s=19
π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£Basi kapige kura ubadili matokeo ubaoni
Mikopo ya miaka mitatu ni mkubwa kuliko ya awamu zote π€£π€£π€£π€£π€£ tuendelee kusifia mzeeMradi upi mkubwa ulijengwa bila Mkopo awamu iliyopita?
Punguza ufala,zaidi ya ambulance 700 zimenunuliwa na kugawiwa ππSo magari 200 ndio yatatosheleza Tanzania nzima π π π π π hata magari 5000 hayatoshi bado
Na miradi ya miaka 3 ni Mingi kuliko awamu zote,au unabisha tuweke takwimu?Mikopo ya miaka mitatu ni mkubwa kuliko ya awamu zote π€£π€£π€£π€£π€£ tuendelee kusifia mzee
Yaani hiyo miradi yote ilifanyika ndani ya kipindi cha miaka 5, ipeleke KUNYANS iwe kwenye sequence uone kama hata serikali itakua na mia mbovu.Uppercut π π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Nasema hata zingenunulia 5000 hazitoshi Tanzania nzima gari zenyewe zinahujumiwa zingine gari nzima lakini wanachomoa spare zinakata juu ya mawePunguza ufala,zaidi ya ambulance 700 zimenunuliwa na kugawiwa ππ
View: https://twitter.com/ortamisemitz/status/1447175319492956164?t=nHMvYK0NMQJ5dtkFlOegdw&s=19
Mikopo inatisha mzee tena inatisha kweli kweli π€£π€£π€£π€£π€£π€£Na miradi ya miaka 3 ni Mingi kuliko awamu zote,au unabisha tuweke takwimu?
Mikopo haijawahi tisha popote,ingetisha kama Uchumi uko stagnant au Nchi imeshindwa kulipa mikopo kama Kundustan ππMikopo inatisha mzee tena inatisha kweli kweli π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Tuendelee kusifia tu
Nyie wa awamu ya 5 mlinunua ngapi? Nioneshe hata 10 nifunge account πππππNasema hata zingenunulia 5000 hazitoshi Tanzania nzima gari zenyewe zinahujumiwa zingine gari nzima lakini wanachomoa spare zinakata juu ya mawe
Tuendelee kusifia mzeeπ€£π€£π€£π€£
Mikopo + tozo kila Kona π€£π€£π€£π€£π€£π€£Mikopo haijawahi tisha popote,ingetisha kama Uchumi uko stagnant au Nchi imeshindwa kulipa mikopo kama Kundustan ππ
View: https://twitter.com/mamayukokazini/status/1810914841168613555?t=5cs_OWOtzu_2cDfyEPBqQg&s=19