Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,709
Kutokua na maji ja kushindwa kulipa kwa kisungizio cha sehemu kuwa gangway nayo ni ishara ya umaskini. Wacha excuse 🤣🤣Ameenda kuleta wa samburu na orma wanaoishi kwenye jangwa kulinganisha na watu wa kigoma wenye ardhi ya rotuba na maji 😂
Kuna kitu hawa watu na huyo mzungu hajakielewa, watu wa huko sio kwamba wananjaa, ila mila zetu ni kwamba mgeni akija, anakuja na Zawadi. Hao watu wanchokiulizia ni zawadi tu...... ni Mila za Kitanzania. Hata kama mimi nikienda huko na mimi nitasumbuliwa kama hivyo.Bro, Wacha story mingi, tunaongelea tabia ya Wabongo ya kuombaomba na imeonekana wazi. Usijaribu kuchanganya mada hapa hivi.
View attachment 3037659
Hivi kuna kampuni gani ya Kikenya imelist NASDAQ??
Kashindwa kuondoa ukabila kwao je Africa ataiweza😅
Jenga Kwanza alaf njoo uongee hapa chizi wewe😅😅 mm nakupa taarifa ufunguzi itafanyika Tanzania na fainali itafanyika Tanzania na CAF wanajua hvoTalanta complex ( under construction ), Kasarani ( under major renovation) and Nyayo ( under major renovation)…. Now you know…
BRT tuu imewashinda itakuwa new commuter rail wazee wa tuta tuta ..........
Samburu sio Kenya?Ameenda kuleta wa samburu na orma wanaoishi kwenye jangwa kulinganisha na watu wa kigoma wenye ardhi ya rotuba na maji 😂
na ukahaba full mdundo walitaka kumuuzia nyapi!Ilifika kipindi huyu chizi alikua anatembea na chakula special kwaajili ya kuwapa ombaomba wa kundustans on the way sababu ilikua ni utamaduni, Kunyaland mpaka vibibi vilikua vinamuhustle vinataka kumuuzia uroda kinguvu 😂😂😂
View attachment 3037679View attachment 3037680View attachment 3037681View attachment 3037684View attachment 3037685
Alete source ya mkopo wa Dar Kibaha motorway 😁1. Naomba waliofund Lot 1 ya SGR ($900m)
2. Naomba waliofund JNHPP (Tsh. 6 Trillion kuna mtu wa mkopo anaweza toa $3 Billion kujengea nchi bwawa alafu hiyo nchi raisi aweke Permanent Sovereignty on Natural resources meaning hata iweje dhamana yao haitakua mali yao, alafu huyo aliyetoa mkopo asitake kutangazwa eeeh kwa huo mchango mkubwa. Na sijui kama kuna lender atajitoa akili kuweka hizo pesa zote nchi ya Africa papo hapo mradi mmoja na ukamilike uwe mali 100% ya serikali)
3. Naomba Mkopo wa kujenga Dodoma Magufuli City source yake.
4. Naomba source ya mkopo wa Kibaha Kimara Highway
5. Naomba Source ya Mkopo ya Kijazi Interchage (Ubungo Interchage)
6. Naomba Source ya mkopo (fund) za Magufuli Bridge.
7. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa TZ state house
8. Naomba Source ya mkopo ya Ujenzi wa Msalato International Airport na airports nyingine.
9. Naomba source ya mkopo ya Ujenzi wa Magufuli Bus Terminals, Tanga Bus Terminal, Dodoma Bus Terminal, Nyegezi Bus Terminal, Nyamahongolo Bus terminal.
10. Naomba Source ya Mkopo ya Ujenzi wa Oil Terminal ($270 million)
11. Naomba source ya Mkopo ya ujenzi wa Masoko ya kisasa (Job Ndugai (Dodoma), Kariakoo soko jipya, Magomeni, Soko la Mwanza).
List bado ni ndefu....
Kama hiyo yote tumekopa why Debit to GDP ratio ni ndogo, hatujafikia huko ujinga wenu mliokopa toka Enzi za Magufuli Eurobond na vitu tangible havifikii hata bei ya mradi mmoja wa BRT tuliokopa?
Weka na ile picha mwamba anakimbia na ugali sijui ataulaje bila mboga 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Ona huyu,
HDI
Standard of Living
Mabanda ya Nguruwe
Wanatafutiwa kazi za uhousekeeper nje ya nchi
Njaa kali (Mpaka unga umekua Nyara za Taifa)
Hawawezi afford kitu kukitokea economic changes.
Angalia makarai na ngarangara zilizozagaa CBD
Hawawezi afford expressway toll(🤣🤣🤣) chini gari nyingi kuliko juu.
Health
Mwenye ile picha jamaa yupo hospital analia kwenye mfuniko wa jaba yupo naiomba.
Any Government hospital huko ukunyani inaweza compete na Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), Ocean Road Cancer Institute (ORCI), Medical Store Department (MSD) Juzi mlikua mnaomba TB drugs msisahau.
Human Development?
Kweli mtu akiona sura za wakenya unaona kuna development hapo kweli?
Kila kitu cha kijua kali.
Acha kukimbia weka evidence usilete maneno ya kanga hapa.The fact that umeweka hapo SGR na JNHPP ambazo tunajua zilijengwa na loan inaniambia nisijisumbue kutafuta hizo zingine.
Hii ni lugha gani?Kutokua na maji ja kushindwa kulipa kwa kisungizio cha sehemu kuwa gangway nayo ni ishara ya umaskini. Wacha excuse 🤣🤣
Hii ni lugha gani?Kutokua na maji ja kushindwa kulipa kwa kisungizio cha sehemu kuwa gangway nayo ni ishara ya umaskini. Wacha excuse 🤣🤣