Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii issue ya northern corridor kutumia route ya Tanzania hapana kwa kweli sisi bado tuko unwilling endeleeni tu na coalition of the willing 😎
 
Mimi mwenyewe nimeshagonga two meals mpaka saa hii inawezekana yeye bado hajapata kifungua kinywa msamehe tuu analumbana na watu walioshiba 😁
 
Wewe kwani kipofu huoni miundombinu ya umeme hapo? Na hapo ni interior kinoma.😎
 
Nchi ya kimavi mavi sn Kenya.
Ni toka 1990s wanaandamana ila Nchi iko vile vile alafu wanatupigia kelele eti hatuandamani, tuandamaneje ikiwa serikali inasikiliza hoja?

Wanaandamana unga wa ugali? Bei ya mazao ikipaaa si tunapeleka kelele waziri huyu hapa stock ya NFRA inafunguliwa?

Alafu mikakati ya Ruzuku kwa pembejeo inaanzishwa ili mkulima akiuza ndani asilie sana.

Bei ya Mafuta? Ukiwa na gari CNG ipo fresh tu unachange, Kodi mbona viongozi wanafika?

Sakata la DP World mbona tulikomaa wakaacha ujinga wa kurekebisha Permanent Sovereignty law.

Mnatakaje basi? Kila mahali kuna alternative na sometimes zinakua from government, vijana hao wanagawiwa vipande vya ardhi na kusaidiwa left right. Walilie nini?

Umachinga unaruhusiwa na unalipa masoko ni mengi nchini, Media zinaajiri vijana kila kukicha. Tufanyeje?

Sababu kuu hatuandamani ni serikali haijawahi kutuweka kwenye kona kiasi kwamba ikipitisha kitu wote tunakufa njaa.

Usituone hivi, kumbuka mtwara waliingia barabarani kisa gesi kuja Dar mpaka vifaru viliingia, Guess what now mradi wowote related na gesi unaishia mtwara na Walijengewa kituo cha kufua umeme via Gas (Gas Kwenda dar ni kufua umeme Kinyerezi na Ubungo), Walipelekewa Dangote Cement kwa Ajiri ya Ajira, Cashew nuts ikawekewa mkakati ili irudishe pesa kuwe na alternative sources of income.

Sisi sio nyie tuna misingi yetu ya kitaifa. Ndio maana tunasema siku zote Jomo Kenyatta aliwapoteza kabisa.
 
Umeitoa wapi hii au unajiropokea, ivi hii EA kuna watu Shameless kuliko nyie?
 
Usidhani sisi sio nyie, ikiwa tu chakula hakitusumbui sembuse kupiga starehe?
 
Serikali ingekuwa inasikiza hoja hamngekuwa ombaomba hivi. 🀣 🀣

 
Na unaamini eeh? Joy gani hiyo? Ya kumshobokea mzungu au?

Kenya kuna Joy? Why juzi hatukuisikia Gen Z wanasema hakuna Joy kabisa

Mbona naona mkimshobokea? Ona hadi huyu anamwambia aje Kilimanjaro mzungu amemwambia Kilimanjaro ombaomba ni wengi. Hiyo hiyo Kilimanjaro ndio eneo lenye nafuu zaidi nchi yenu. Sasa akiingia kwa mafukara inakuwaje? 🀣 🀣

Mbona nisiamini kitu ninachoona na macho yangu? Watu huzuni hawana confidence, wanamfuatafuata mzungu ila kila wanachoweza kuongea ni kuomba tu?

 
Wenzako hawa wanaomba chakula.
Milo mitano stupid shit stories. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Aibu sna hii, bila shaka huyo atakua mmoja hapa ndani aneomba chakula wakati ameshika jembe πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
mtoto wa kiume anaomba chakula, hwa ndio hutombw.a na wazungu πŸ‘‡πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 

Are you disputing the figures? If so, dispute with other figures.
If not, jifunze kunyamaza.

Kenyans have a higher Human Development Index than bongolala.
In short, a higher standard of living. The only reason bongolalas afford anything is because your country is full low standards. From housing, to food, to healthcare.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…