Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

picha ya juu ni filtered ya chini ni bila filter😀😀😀😀😀
fxuhj-jpg.645872

img_1398-jpg.645824
 
Ujinga wenu wa kutojua mambo ya duniani ndiyo sababu kubwa na ukoo wa Kenyatta na Odinga kuwatawala kama wanyama, Waiguru na wengine wanabeba mapesa kwenye gunia, ninyi mnalala Kibera kwenye flying toilets..stupid
Tz are...silent thieves... .Mnatubia news....even newspaper. Pia mnawaibia wanazanzibari inchi yao(ndawashtaki kwa rais Mohammed shein ) sisi tunajua ii yote yah Uhuru na baba na waiguru lkn nyie serikali yenu inawaponda na mjui ci coz nyie 2ni .maziwa lala. Hadi pesa yenu inakua devalue Alafu unawaona daganyikas wanaepea msa...wanajikuta chokoras
 
Ulishaona mtu anachambia jani la mgomba?! Well looks like your architects are just doing that... Mnajipaka mavi tu.. Werevu mwiiingi mbele Giza... Mnajenga mavitu yapo yapo tu ..hata hayaeleweki... Sasa ukadesign nyumba kama Muhindi mbichi.. For what.. !? Be practical.. Mnafanya vitu for the sake of doing tu muonekane mnafanya / wa kwanza.. Ila huwa najichekea mnavyopakwa sifa za kindezi.
 
Leta tuone.....nashangaa kuwaona mnajua joho .vise wetu.sonko na kadhalika...
Hafadhali Joho ni mtu mkubwa, nyie mnamjua Hamisa Mobeto, hata mimi sikuwa nikimjua kabla, nilimjua kupitia magazeti yenu
The truth about the car Diamond gave Hamisa
Leta tuone.....nashangaa kuwaona mnajua joho .vise wetu.sonko na kadhalika...
Hafadhali Joho ni mtu mkubwa, nyie mnamjua Hamisa Mobeto, hata mimi sikuwa nikimjua kabla, nilimjua kupitia magazeti yenu
 
Back
Top Bottom