😀 Hajafikiria hizo movies zitapata wapi qualities bila AI. Ni sawa na kumpeleka mke five star hotel na kumwambia unataka chakula kama hicho badala ya kumpeleka mpishi jikoni kwa five star hotel akajifunze maujanjaAnashangaza sana huyu jamaa.
Yani film industry Korea ni industry ya kawaida.
Kuna mambo lukuki Korea yanawatangaza tofauti na filamu.
Mifano ya haraka nimetoa hapo juu.
Wewe Tanzania badala ya kwenda kuomba usaidizi wa mambo ya msingi ya kuendesha nchi unaenda kuomba usaidizi kuhusu filamu.
Bullshit.
Sawa twende na sarafu kwanza, niambie unadhani itacheza kwenye shilingi ngapi hivi mkuuSarafu moja (optional kama euro) nakubali ila ondoa hilo neno ya kuungana. Siweziungana na manyang'au yenye ukabila na njaa ambayo yakipata milo miwili tu kwa siku yanajiona yana IQ kubwa kulko nchi zote Afrika
Kama hii ni kweli inabidi TZ tujitoe kwenye kuhost. Opening and Closing Ceremony ndio hosting yenyeweWaulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!
View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
Niwie radhi ndugu yangu mambo ya sarafu yananichanganya, tusubirie wachumi maana kutafuta average ya deficit, imports, exports, madeni n.k ya nchi zetu ntaangukia pua 😀Sawa twende na sarafu kwanza, niambie unadhani itacheza kwenye shilingi ngapi hivi mkuu
😏😏Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!
View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
Hizi ni propaganda mkuu. Wapi kauli za CAF wenyewe.?Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!
View: https://x.com/StateHouseSpoks/status/1809816931286819245
Kama ni propaganda sawa.Hizi ni propaganda mkuu. Wapi kauli za CAF wenyewe.?
Wewe una matatizo,Tanzania inajinasibisha kwenye ushirikiano na Korea Ili ioate ujuzi na mojawapo ya huo ujuzi ni kweli industry ya filamu na sio kutaka kushindana na Korea.Bro huwa unanichoshaga hapo tu.
Taja hizo sekta muhimu ambazo Tanzania tumejifunza toka kwa Korea.
Usijifananishe na Korea,Korea ishapiga hatua we jamaa, katika vitu inavyowatangaza Korea kimataifa filamu haiingii hata tatu bora,kuna mambo makubwa Korea yanawatangaza kuliko filamu.
1)Teknolojia ya silaha na AI na mawasiliano.
2)Afya hususan upande wa cosmetic surgery.
N.k n.k
Aya wewe Tanzania unafanana naye wapi!?
Chawa wa mama bhana akili zao muda mwingine!?
Kwani Tanzania haishirikiani na Korea kwenye mambo ya technology transfer?Wewe sasa ndio mbumbumbumbu... Usiniambie kwamba hujui Samsung imetoka Korea, achana na Joka la umeme mnalochukulia credit na mengineyo.
Juzijuzi tu mlipeleka mdoli bungeni mkasema ni robot, angepeleka tech teams tukuze AI
Propaganda mkuu, ni CAF wenyewe ndio wanahaki ya kutangaza uzinduzi wa mashashindano na finals zitafanyikia wapi.. hao ni wazee domo kubwa tu.. wazee PR ..Kama ni propaganda sawa.
Maana nlihisi kama tumetukanwa tusi la nguoni mchana kweupe
Kama upo huo ushirikiano basi wangepeleka wataalam, walipopeleka ule mdoli bungeni nlisikia aibu sanaKwani Tanzania haishirikiani na Korea kwenye mambo ya technology transfer?
Una shida ya uelewa.Wewe una matatizo,Tanzania inajinasibisha kwenye ushirikiano na Korea Ili ioate ujuzi na mojawapo ya huo ujuzi ni kweli industry ya filamu na sio kutaka kushindana na Korea.
Korea inaisaidia Tanzania kwenye sekta ya IT sio tuu Kwa kujenga Vyuo vya Dodoma, Kigoma,Manyara na DIT Bali pia Kwa kutoa nafasi za mafunzo ya bure kwenye Elimu zikiwemo taaluka za Afya eng Mlonganzila ni mfano pia.
Hiyo ni area Moja tuu lakini ziko nyingi,Mimi shule niliyosoma Wakorea walikuwa wanatufunza Physics na Elimu ya viungo(physical education).
Kwa hiyo nakushangaa kwamba eti kujifunza film industry ya Korea unaona kwako ni tatizo,Hilo ndio tatizo ulilonalo.Tinataja kuwa Bora kwenye filamu hapa Africa kama Nigeria na sio kushindana na Korea.
Taja hizo tech transfer.Kwani Tanzania haishirikiani na Korea kwenye mambo ya technology transfer?
Haupo huo ushirikiano.Kama upo huo ushirikiano basi wangepeleka wataalam, walipoleka ule mdoli bungeni nlisikia aibu sana
Kigoma pale tunajenga Chelezo ya kuunda meli ni Mkorea anafanya.Taja hizo tech transfer.
Kama kweli wanashirikiana mngekuwa mshajenga karakana ya kuunda na kurekebisha treni na mabehewa hapa Tanzania.
Hilo jambo sio geni la kuunda meli,badala yake mngeunda ushirikiano wa kuongeza ujuzi kupitia SONGORO MARINES.Kigoma pale tunajenga Chelsea ya kuunda meli ni Mkorea anafanya.
Hizo zingine ni teknolojia ambazo wao wanategemea kuendesha Uchumi wao,huwezi pewa kienyeji.