It makes sense kwenye kuitangaza NchiYaani mama kapeleka Dreamliner letu Korea kuwapatia wasanii mchongo wa muvi badala ya kupeleka computer engineers wapate ujuzi wa kutengeneza ICs? Kweli akili ni watu.
Mbona Diamond anaitangaza Tz vizuri tuu bila kubebwa na Rais?It makes sense kwenye kuitangaza Nchi
Tanzania ishatangazika sana.It makes sense kwenye kuitangaza Nchi
Mbumbumbu Mko wengi sana.Film industry ya Korea inaleta pesa na kutangaza Nchi Yao au hapana?๐๐Tanzania ishatangazika sana.
Kuna mambo mbadala ya kuongea na Korea kuliko hayo ya filamu.
Mathalan utaalamu wa uendeshaji miradi mikubwa kama reli,teknolojia zingine muhimu.
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Korea aisee.
we hebu nyamaza wanaume wakiongea!Mbumbumbu Mko wengi sana.Film industry ya Korea inaleta pesa na kutangaza Nchi Yao au hapana?
Mimi mwenyewe mume wako,kuwa na adabu.we hebu nyamaza wanaume wakiongea!
Alivyoanza kazi alirekodi muvi, baadae akasema kila mbuzi ale kwa urefu wa kamba yake.Tanzania ishatangazika sana.
Kuna mambo mbadala ya kuongea na Korea kuliko hayo ya filamu.
Mathalan utaalamu wa uendeshaji miradi mikubwa kama reli,teknolojia zingine muhimu.
Kuna mengi ya kujifunza kutoka Korea aisee.
Dreamliner haijaenda Bure huko,imelipiwa kama ambavyo safari zingine hulipiwa.Yaani mama kapeleka Dreamliner letu Korea kuwapatia wasanii mchongo wa muvi badala ya kupeleka computer engineers wapate ujuzi wa kutengeneza ICs? Kweli akili ni watu.
Bro TUMIA AKILI.Mbumbumbu Mko wengi sana.Film industry ya Korea inaleta pesa na kutangaza Nchi Yao au hapana?๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C9Hb4KSAH9g/?igsh=azRqYXQxOWdhZWUy
Sarafu moja (optional kama euro) nakubali ila ondoa hilo neno ya kuungana. Siweziungana na manyang'au yenye ukabila na njaa ambayo yakipata milo miwili tu kwa siku yanajiona yana IQ kubwa kulko nchi zote AfrikaIkitokea nchi za Afrika mashariki zimeungana tukawa na sarafu moja, dola 1 ya marekani itakuwa ni sawa na shilingi ngapi za nchi ya Afrika mashariki?
Makadirio yafanyike kwa muungano wa baadhi ya nchi za Afrika mashariki na kwa nchi zote.
mf. (TZA+KEN+ UGN), (TZA+KEN+UGN+RWN+BRD) nk....
Hii ni chemsha bongo bandugu, haipo gugo hii.
Unadhani Tanzania imeanza Leo kushirikiana na Korea? Hizo nyanja hatuzupi kipaombele? Nikutajie mojawapo? Kwani Samia alienda Korea kuuza sura?Bro TUMIA AKILI.
Korea iko mbele kwa mambo mengi sana.
Sisi tuko nyuma mno katika mambo mengi MUHIMU.
Kuna nyanja ambazo tunatakiwa tuzipe kipaumbele kwanza kuliko suala la filamu.
Tuna sekta nyingi ambazo tuko nyuma tunatakiwa tujifunze ambazo ni MUHIMU SAANAAA kuliko filamu.
Wewe sasa ndio mbumbumbumbu... Usiniambie kwamba hujui Samsung imetoka Korea, achana na Joka la umeme mnalochukulia credit na mengineyo.Mbumbumbu Mko wengi sana.Film industry ya Korea inaleta pesa na kutangaza Nchi Yao au hapana?๐๐
View: https://www.instagram.com/p/C9Hb4KSAH9g/?igsh=azRqYXQxOWdhZWUy
Bro huwa unanichoshaga hapo tu.Unadhani Tanzania imeanza Leo kushirikiana na Korea? Hizo nyanja hatuzupi kipaombele? Nikutajie mojawapo? Kwani Samia alienda Korea kuuza sura?
Mwisho,jibu swali Film industry ya Korea inaleta pesa na kuitangaza Nchi Yao au hapana?
Anashangaza sana huyu jamaa.Wewe sasa ndio mbumbumbumbu... Usiniambie kwamba hujui Samsung imetoka Korea, achana na Joka la umeme mnalochukulia credit na mengineyo.
Juzijuzi tu mlipeleka mdoli bungeni mkasema ni robot, angepeleka tech teams tukuze AI
Waulize wapuuzi wenu wa Wizara ya Michezo!Kuna mada niliona kwamba eti Tanzania inaweza pokonywa nafasi ya uwenyeji wa Afcon Kwa sababu za kuchelewa maandalizi wakapewa Rwanda.
Sijui inawezekana vipi ila kama hii taarifa ni kweli CAF wameipa Kundustan fursa hii basi hata Afcon yenyewe haiana manaa tena,Kwa sababu mechi za ufunguzi na fainali ndio za muhimu Kwa kutangaza Nchi. ๐๐
View: https://twitter.com/Kenyans/status/1809834967393808591?t=te_MtvTqaSShv_4Zx0ua3w&s=19