Sera nyingi zilibadilishwa baada ya kufuata masharti ya restructuring ya WB na IMF, ili kupunguza gharama za kiuendeshaji. Ndiyo maana waliondoa JKT, kuacha kulisha wanafunzi mashuleni, viwanda kubinafsishwa n.k. Ukiangalia kiundani yote hiyo ilikuwa ni kutudhoofisha kiulinzi na kiuchumi.Viwanda vya Kijeshi (Nyumbu, Kiwanda cha Mizinga na risasi, ila walikiua) Uganda kabeba somo vizuri.
Naweza sema hakuna viwanda vinavyoniuma kama hivi.
1. General Tyres hadi leo kina potential ya kua revenue generator wa serikali ila hawakioni wanaona kuongeza tozo ndio kupata pesa.
2. Viwanda vya Nguo (Urafiki, Mwatex, Musoma Textile) dah yaani hakuna mwendeleo sisi wa kuexport mafamba hivyo?.
3. Viwanda vya Baisikeli ya Swala (NABISCO) Naamini sasa bajaji isingekua tabu.
4. Kiwanda cha chuma (chenye kuunda kila aina ya pembejeo au chuma) mashine aliuziwa Mchungaji Rwakatare like Seriously?
Ile sheria ya sovereignty ni moja ya vitu vya kujivunia sana kama taifa. Kitendo cha awamu hii kutaka kuiondoa inaonekana wazi kuna watu wa nje wanaoshikilia remote ya viongozi wetu.Ikiwa kipindi cha Sakata la Dp World walitaka sheria ya Magufuli ya Permanent Sovereignty on Natural resources ibadilishwe itakuaje hivyo. Maana walishindwa kupitisha.
Hiyo sheria ya 2017 ina ipa Nchi Permanent Sovereignty, inamaanisha mkataba wa milele hauwezekani, na ikiwa muwekezaji haifaidishi nchi inaweza kuvunjwa akarudi kwao, na kushtaki ni kushitakia hapa hapa sio nje.
Sheria kama hiyo unaenda ibadili ili iweje?
Yule injinia wa reli na mkurugenzi wa miundombinu, Machibya Masanja aliwahi kusema reli imasanifiwa kwenda hata zaidi ya 200km/hr ila kwa kuanzia RTC ilinunua hizo treni za kuhumili 160km/hrNa reli yetu waliiunda kwa ufanisi wa kutembea ama kuhimili 160.
Ila imeonekana inahimili speed zaidi ya hiyo 160 na katika majaribio hilo limethibitishwa.
Natamani nipate ile video niilete hapa.
Ulikuwa hufahamu hili? kila siku hapa tunamuelimisha Reborn tkd kuwa yeli yao haiwezi kwenda speed ya 200km/hr kwa sababu ya limitations za mtetemo.Inamaana SGR ya Kenya kumbe jointed?
Mbona MGR yetu iko welded?
Yani MGR yetu ina ufanisi kuliko SGR Kenya?
Duu on top of that Wachina nao wamo ππππ
Anhaa sawa.Yule injinia wa reli, Masanja aliwahi kusema reli imasanifiwa kwenda hata zaidi ya 200km/hr ila kwa kuanzia RTC ilinunua hizo treni za kuhumili 160km/hr
Ulikuwa hufahamu hili? kila siku hapa tunamuelimisha Reborn tkd kuwa yeli yao haiwezi kwenda speed ya 200km/hr kwa sababu ya limitations za mtetemo.
Barabara ya km 150 tunajenga km 3 na Barabara ya km 50 tunajenga km 3 serious hii ni Jambo la kushangilia kweli??ππππ
Safari 1 huanzisha nyingine.Huu umekuwa ni utaratibu wa Serikali miaka yote na ndio maana Barabara nyingi hujengwa Kwa miaka 6-12 except zile za pesa za mikopo.Barabara ya km 150 tunajenga km 3 na Barabara ya km 50 tunajenga km 3 serious hii ni Jambo la kushangilia kweli??ππππ
Kweli tutasifia panapostahiki kwa hii BIG NO
Wakenya Wana kila sababu ya kuuana ili Ruto atoke mana alishirikiana na Uhunye kuiba pesa nyingi sana kwa kisingizio cha reli standard, reli yenyewe ndiyo hiyo jointed. Mm nawatakia kila la heri wauane ili wapate haki yao, haiwezekani majority waishi maisha ya kimbwa alafu minority waishi kifalme.Inamaana SGR ya Kenya kumbe jointed?
Mbona MGR yetu iko welded?
Yani MGR yetu ina ufanisi kuliko SGR Kenya?