Kuna mahali hapo kati tulipotea njia. Inasikitisha sana.RRONDO ulipodokezea Ikarus umenikumbusha misingi ya maendeleo Nyerere aliyokuwa ameiweka. Isingekuwa predatory na sabotage measures za IMF, Tanzania tungekuwa mbali sana sasa. Ona Kenya wanavyokiona cha mtema kuni sasa? IMF siyo mjomba.
So by world class you mean electric ama? kwa sababu sioni kitu kingine peculiar na sgr ya Tanzania vis a vis kenya.Kijana umekunywa chai? Hueleweki. Weka hii kichwani. Treni ya Tz inaenda 160kph aidha ni slow au fast tunaachia nyie. Ni ya kisasa yaani world class popote pale duniani ni treni nzuri, kama umewahi kutembea duniani utanielewa. Mwisho nakufahamisha mjadala wa treni kati ya Tz na Ke ushaisha. Pumba na mchele zishajitenga. Tuendelee kujadili apartments ndefu za Nairobi.
Ethiopia ni hyped failed state.So by world class you mean electric ama? kwa sababu sioni kitu kingine peculiar na sgr ya Tanzania vis a vis kenya.
Need i remind you tulijenga sgr the same time na Ethiopia na wakati huo the script ilikua hii hii ya electric.
Fast forward today hype ziliisha licha ya kwamba Ethiopia ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
Unajua mpaka sasa sijachukulia serious Sgr yenu manake naijua tanzania haina ubavu interms of metric tonnes na passengers.
Bla bla bla bla bla bla.......IT'S OVER kwa sauti ya VINCE CARTER.So by world class you mean electric ama? kwa sababu sioni kitu kingine peculiar na sgr ya Tanzania vis a vis kenya.
Need i remind you tulijenga sgr the same time na Ethiopia na wakati huo the script ilikua hii hii ya electric.
Fast forward today hype ziliisha licha ya kwamba Ethiopia ina uchumi mkubwa kuliko Tanzania.
Unajua mpaka sasa sijachukulia serious Sgr yenu manake naijua tanzania haina ubavu interms of metric tonnes na passengers.
Madaraka express ya kenya inaweza kwenda beyond 120kph na ushahidi upo YouTube lakini hio sio official intended speed.Mie nimezungumzia maximum speed ya chombo.
Reli hii ilikuwa designed iwe na uwezo wa kuhimili speed ya 160 ila majaribio yalipofanyika imeonekana ina uwezo wa kuhimili speed zaidi ya 160.
ππππππTutajie max speed ya Madaraka Express.Madaraka express ya kenya inaweza kwenda beyond 120kph na ushahidi upo YouTube lakini hio sio official intended speed.
Hili la viongozi wetu ni moja ila kuna nguvu kubwa sana kutoka nje inayoturudisha nyuma (viongozi wetu huwa hawasemi tuu).Kuna mahali hapo kati tulipotea njia. Inasikitisha sana.
Hakuna metric yeyote Tanzania inaweza ishinda Ethiopia.Ethiopia ni hyped failed state.
Mambo mengi Ethiopia yanakwama,pia Ethiopia wana light trains sio kama hizi za kwetu.
Passengers washaanza kuonesha muitiko,tena wale wengine walokua wanajazana katika MGR watapungua kuja SGR
Kwenye mizigo time will tell,just chill bro usiwe na kitete.
Ya passengers au mizigo!?Hakuna metric yeyote Tanzania inaweza ishinda Ethiopia.
Inaweza fika hata 200kph, ingia youtube tafuta video jamaa anakwenda na 120 lakini bado mtambo wa diesel unamuacha.ππππππTutajie max speed ya Madaraka Express.
Maana sisi katika majaribio walianza na 150,wakaja 166,wakaja 174.
Na sasa speed inayotumika kukimbizana na muda licha ya kusimama vituo njiani ni 165-170+kph.
Tuletee max speed ya Madaraka express bro.
Mizigo ya Ethiopia inayosafirishwa kutoka Djibouti ni mara mbili ya mizigo inayoshushwa dar es salaam.Ya passengers au mizigo!?
ππππππππ.
Bro hebu acha utani basi.
A sign of terrible reality check.Bla bla bla bla bla bla.......IT'S OVER kwa sauti ya VINCE CARTER.
Tuko hapa muda utaongea.Mizigo ya Ethiopia inayosafirishwa kutoka Djibouti ni mara mbili ya mizigo inayoshushwa dar es salaam.
Kibaya zaidi your economic capital ni hapo hapo dar
Hii hype ya Tanzania itakufa mbio sana kwahivyo tumieni huu muda vizuri kusambaza propaganda zenu.
Umepanic broπUpande mmoja unasema mna fastest train na unaanza kulinganisha ticket price na UK upande wa pili unashika mori ukiambiwa hio sio speed train kwa sababu ya max speed ya 160.
Unaniambia na linganisha Tz na Uk π
Huyo ni bro au mchicha mwiba πππUmepanic broπ
Niliona ile video.Inaweza fika hata 200kph, ingia youtube tafuta video jamaa anakwenda na 120 lakini bado mtambo wa diesel unamuacha.
Hizo ni unofficial speed, wenzako wamekubali 160 wewe unahisi ukikubali basi itakuwa mmeshindwa,endelea kusukuma agenda ππ
πππππππHuyo ni bro au mchicha mwiba πππ
Tumalizie na hii ππKijana umekunywa chai? Hueleweki. Weka hii kichwani. Treni ya Tz inaenda 160kph aidha ni slow au fast tunaachia nyie. Ni ya kisasa yaani world class popote pale duniani ni treni nzuri, kama umewahi kutembea duniani utanielewa. Mwisho nakufahamisha mjadala wa treni kati ya Tz na Ke ushaisha. Pumba na mchele zishajitenga. Tuendelee kujadili apartments ndefu za Nairobi.