Rhaenyra Targaryen
JF-Expert Member
- Sep 10, 2022
- 915
- 1,091
Kwa main road pekee. 😂Nano anakosoa sidewalks Dsm? #BRTphase3
View attachment 3031597View attachment 3031599View attachment 3031604
View attachment 3031612View attachment 3031619View attachment 3031623
Unaongea sana heb ngoja nii extended hii picha uone hiyo venue vile inakaa 🤣🤣..Umegundua zile vitu unaona ni luxury kwetu sio luxury so heri ujitoe mapema kabla aibu zikupate.🤣🤣
Mkuu km za sidewalks zilizopo Dar labda uchukue nchi zote za Africa mashariki ndio ziweze kuwa competitive. Facts..Nano anakosoa sidewalks Dsm? #BRTphase3
View attachment 3031597View attachment 3031599View attachment 3031604
View attachment 3031612View attachment 3031619View attachment 3031623
Main road as usual 😂😂😂Nano anakosoa sidewalks Dsm? #BRTphase3
View attachment 3031597View attachment 3031599View attachment 3031604
View attachment 3031612View attachment 3031619View attachment 3031623
Face lifted nusu mchongoko😬😬😬Unyama ndio huu View attachment 3031614View attachment 3031615View attachment 3031616View attachment 3031617vibwengo vya north vitaishia kuziona kwenye picha tu. 🤣🤣🤣 cc The best 007.
Hebu post hiyo main road kutoka huko ukunyani enye iko na sidewalks za kinyamwezi na ndefu kuliko barabara za Dar kwasasa,Main road as usual 😂😂😂
We Mzee mbona haya mambo ya zamani sana hapa kwetu, nyie ndio recent successful stories? Aisee mnachekesha sana, I bet humu wengi wenu mnashukuru sana huu uzi umewafungua macho toka gizani hata kama hamsemi, mmegundua mlikuwa mmejifungia kwenye shimo la tewa mkidhani mko Manhattan kumbe mko kwenye shit hole😅😅😅False. Kenya is a world leader in mobile money yet banking increased with introduction of mobile money. Siku hizi sii lazima Mkenya aende Bank. Ukitumiwa doo kwa MPESA unazituma hapo hapo kwa bank account na ukitaka kuzitoa kwa Bank sii lazima uende Bank ama ATM, unazitoa hapo hapo hadi MPESA. MPESA imefanya wengi ambao hawakuwa na Bank account wafungue Bank account. Kitambo walioajiriwa kazi na walio na biashara kubwa pekee ndio walikua na bank account. Siku hizi hata yule jamaa wa kushona viatu ana bank account, ukimtumia pesa kwa MPESA anazituma kwa Bank Account.
Naweza nikakuletea hta sidewalks uswahilin😅Kwa main road pekee. 😂
Unateseka kijana wangu. 🤣🤣🤣Face lifted nusu mchongoko😬😬😬
Ni kweli kabisa hazifikii za Madaraka express.Face lifted nusu mchongoko😬😬😬
Hawa wanaongea sana ni vile tu watu wanakuwaga wavivu kupga picha.Mkuu km za sidewalks zilizopo Dar labda uchukue nchi zote za Africa mashariki ndio ziweze kuwa competitive. Facts..
Unataka BRT ijengwe Airport?Kwa main road pekee. 😂
Umebadirisha wimbo😅 naweza nikakuletea sidewalks uswahilin kabsa, kwanza nishawah kupost hapa wew husomagi au unajitoa ufaham tu hapa😄Main road as usual 😂😂😂
Kwani huna habari? 😲So mna mobile money penetration kushinda KE?
Aki wazee wa esjiara ya mkaa wanatafutana saa hii.
Unyama ndio huu View attachment 3031614View attachment 3031615View attachment 3031616View attachment 3031617vibwengo vya north vitaishia kuziona kwenye picha tu. 🤣🤣🤣 cc The best 007.
Good boy karibu Tz upande treni za bureti.Mimi naona diesel train iliopigwa face lift kidogo 😂😂😂