Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mkuu fasting ina nafasi yake na muda wake katika maisha ya binadamu binafsi ushauri wa Janabi sikubaliani nao na hata yeye alisema hivyo ndivyo anavyofanya yeye and it works for him lakini sio kwamba anashauri watu kuwa hiyo ndio njia bora.
Healthy eating and exercise hiyo ndio holy grail ya longevity ukipiga na fasting kdg umemaliza ila habari ya kula mlo sijui mmoja au miwili tuu hiyo sio sahihi.
 
Kwa nini ukiumwa unakosa hamu ya kula?
 
Na kweli sababu navyojua mimi kwenye railway ukiita train something express inakua kama ni brand tofauti service kwenye hiyo train therefore kama kulikua na Nyerere express na sasa kuna Samia express, hii Samia express inatakiwa kuwa tofauti na Nyerere express kwa kila kitu kuanzia speed ya train, huduma zinazotolewa ndani ya train, seat arrangements mpaka rangi ya seats na saa nyingine hata routes huwa tofauti, yaani ni whole different brand, ila ndio hivyo tuna inept board members TRC, siasa zinazidi professionalism
 
Tanzania can not be found in such statistics
View attachment 3031122
cooked data for Kundurenda! so familia za namna hii zinaishi modest houses zina Bank account? Au mpesa imekuwa Bank account?


View: https://youtu.be/dN03b3iG7yc?si=mS-zIPV5ibRPA6-S
If that government of urs can even lie over bullets a dead of demonstrator rceived while the truth is displayed on a foto! why the hell do u believe 79% of u idiots have Bank accounts? Ukundurenda ni tabia imejikita kichwani!

View: https://x.com/african_stream/status/1807788304420524176

View: https://x.com/Goddie_Ke/status/1807872420000551409

View: https://x.com/husskhalid/status/1807795143258554484
 
Ulivyosema ni sahihi jina la train lina define na kutofautisha aina ya huduma itolewayo au muundo tofauti wa train na operation schedule or particulars zake.
 
Kwa nini ukiumwa unakosa hamu ya kula?
There are several reasons why we may lose our appetite when we are sick. One reason is that our body is using a lot of energy to fight off the illness, which can make us feel fatigued and less interested in eating. Additionally, some illnesses can cause nausea or digestive issues, which can make the thought of eating unappealing. It is also common for our taste buds to be dulled when we are sick, making food less enjoyable. Overall, our body may simply not feel up to the task of eating when we are sick, which can lead to a loss of appetite.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…