Reborn tkd
JF-Expert Member
- Dec 18, 2020
- 2,068
- 2,188
Nilishasema mda mrefu, hawa hawatoandaa Afcon, kwanza huo mwaka ndiyo utakuwa wa uchaguzi, hebu fikiria itakuwaje, wakati kwa sasa tu hali ndiyo iko hivi, FYI Ruto is there to stay, jaribu kufikiria Ruto lazima aibe kura mana wajaluo hawaruhusiwi kuongoza Kenya, lazima wauwane na hakuna Afcon Kenya, watanzania tujiandae hii michuano tutaandaa wenyewe.Hawa hata hela ya AFCON hawatakua nayo, budget ndio imecollapse hivyo na wasitegemee watalii wala FDI kwa miaka mitatu ijayo, hata ile mikataba ya uongo na kweli waliosaini na Biden ndio imeota mbawa hivyo, kilichotokea jana hakuna investor mwenye guts za kuja kuwekeza mabilioni maeneo ambayo wabunge wanapigwa kama vibaka hakuna usalama 😂😂😂😂
Yani kwa akili zako kabisa unaleta quotes za Heche, sasa huyo ana akili? Huyo akili zake c ni kama mkenya tu, hivi kwa mtu mwenye akili timamu anaweza kuiita Kenya ni nchi nzuri? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣Wabongo wanashangaa mambo ya kawaida kama separation of powers
View: https://twitter.com/HecheJohn/status/1805960754740261133?t=oGIB-wOW4glwO3-cjz_a8g&s=19
Naona ile 'daily dose' imeshaenda na maji😎Nilishasema mda mrefu, hawa hawatoandaa Afcon, kwanza huo mwaka ndiyo utakuwa wa uchaguzi, hebu fikiria itakuwaje, wakati kwa sasa tu hali ndiyo iko hivi, FYI Ruto is there to stay, jaribu kufikiria Ruto lazima aibe kura mana wajaluo hawaruhusiwi kuongoza Kenya, lazima wauwane na hakuna Afcon Kenya, watanzania tujiandae hii michuano tutaandaa wenyewe.
wazee wa kuuamisha goli na kama mkuu wa ysalama nae kashauriwa 😀😀😀
Hapa hakuna nchi ukabila ndio umewekwa mbele kila mtu Kambale.
Gen Z ni njama ya wakikuyu kumtoa Mkalenjin. Wengine wanatumiwa tuu kama expendables.Hii nchi hata viongozi pia wamechanganyikiwa 😂😂😂😂😂😂
View: https://x.com/citizentvkenya/status/1806030653688803733?t=2f1OlFasIMRQxk_WnZ_ieg&s=19
Nchi yenu imegeuka futuhi kwetu tukitaka kutoa stress tuna google Kenya ama Ruto or Riggy G🤣🤣🤣Sikuizi usipoitaja Kenya ama Ruto hupati engagement huko mitandaoni.
Everywhere tunapigiwa makofi then we have Jamii Forums. Na sii JF yote, ni hivi vinyangarika vya hii thread pekee.😂😂Kenya ndio imekua gumzo mitandaoni, Mnaija amekubali mziki..
View: https://twitter.com/tayoainafilms/status/1806033559263568372?t=rx9bM3EN7M2BPIjceslqIw&s=19
Kama mnatafuta kupigiwa makofi basi bado mna safari ndefu😁Everywhere tunapigiwa makofi then we have Jamii Forums. Na sii JF yote, ni hivi vinyangarika vya hii thread pekee.😂😂
Leo wanaenda Ikulu kumtoa Ruto?Everywhere tunapigiwa makofi then we have Jamii Forums. Na sii JF yote, ni hivi vinyangarika vya hii thread pekee.😂😂
Yaani kwenda kuharibu mali za watu in the name of maandamo ndo wanataka wapigiwe makofi!Kama mnatafuta kupigiwa makofi basi bado mna safari ndefu😁
We've achieved what we wanted but some people are still thirsty. The president read the mood and realized he can't win. I doubt people will be at the state house but we are watching.Leo wanaenda Ikulu kumtoa Ruto?
Do you know that UDA was a City bus Company limited that died naturally in Tanzania.🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 Unaota mchana kijana. Pambaneni na mambo yenu kenya. Liberation of Kenya depend on Kenyans. Pambaneni na Kenyatta Family. Mengine mtahangaika sana. Mama Ngina Owns you.
Are you sure that you have?😎We've achieved what we wanted...