Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Treni zetu hapa za SGR ni mzuri sana , mimi naiona karibu every day hapa.
Speed kubwa, na hata haina makelele ya engine kama ya zamani.
 
Acha maneno ya kanga hapa leta comparison ya public hospitals kenya na Tanzania tujionee wenyewe maneno ya kanga kaa nayo wewe.
 
Acha maneno ya kanga hapa leta comparison ya public hospitals kenya na Tanzania tujionee wenyewe maneno ya kanga kaa nayo wewe.
Wewe ndo uache maneno ya kanga, mimi siringanishi TZ na kenya mimi kenya kenya sijawahi kufika. Sasa nitaanza kusema vitu vya kule , ninavyovijua ni vichache sana tuu.

Ila najua sisi wabongo sometimes tukiumwa tumakimbilia kenya,
Kama mwendazake.
 
Reborn Ktb Reborn tkd kupost mi article mirefu isio na kichwa wala miguu hakutazuia au kumaliza kinachoendelea nchini kwenu. Be civil.

Moderator kwanini mnalea huu upuuzi?
Umeona eee, ishu ya kenya maisha magumu yapo tuu, kama huku TZ.
Wewe unafikili kwetu hata leo serikali wakasema bei ya ya mafuta Lita 5000. Kwani wabongo si tutakubaliana tuu na hali.
Ndo maana wakenya hawajakubali mambo kama hayo.

Sasa kama shule tuu inajengwa Tsh 3 billion , afu ukiona daaa we achaaa.

Nazungumzia kwa upande wa bongo
 
You are barking at the wrong tree.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…