Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Wewe ni binadamu uliye na misery sana kwa maisha yako.
Kwann nitumie KDF polisi wameenda Haiti kufanya nn wendawazimu nyinyiπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mulifurahi ruto kukalia kiti cha biden tena mukadanganywa eti polisi WA Haiti watakuja Kenya kuchukua mafunzo hata kiko wapi SASA
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Punguza basi hasira plz
Unadhani hizo emoji zinaficha misery yako? We can see through troubled souls based on how they communicate.
 
Unadhani hizo emoji zinaficha misery yako? We can see through troubled souls based on how they communicate.
Nikiwa kama mwenyekiti naombeni majina yenu wote mlioenda kwa maandamano, waliorudi Hai na waliobutuliwa pia naomba majina yenu plz huku nawasiliana na Kenyatta hospital so far kupata taarifa kamiliπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…