Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Mimi nashangaa huyu kilaza JM alifikiria nini hata kutaka kuwekeza majengo ya gharama vile huko kenya.. jamaa ni mpumbavu sana aisee.. tunaenda vipi kuwekeza kwenye taifa ambalo halina uhakika wa kesho yao.? Muda wowote watu wanachoma Mali za wawekezaji... this is shameful. Bro doesn't deserve the position.. he must resign..
 
Tulipofunga mikanda baada ya vita vya Kagera hawa nyang'au walitucheka sasa yamewakuta๐Ÿ˜Ž๐Ÿ˜
Hiyo finance bill ni dawa kwa uchumi wao ulioelemewa na madeni na dawa siku zote ni chungu, huyu Rais wao alishakuta uozo tayari umefanyika na awamu iliyopita tatizo hakuwa mkweli aliwaaminisha wakenya akiingia kila kitu kingekua sawa wakati amerithi a bankrupted nation, wasipopitisha hiyo bill Kunyaland inaenda kuwa kama Zimbabwe in totality
 
Si walikua wanashangilia ruto alipokaa kwenye kiti cha biden ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… mwengine akasema Kenya ni USA ya Africa

Tuliwaambia hapa ruto kaenda kukopa 250b ksh eti kurudisha uhai WA ksh against dollar hapo ndipo niliona wakenya ni wendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ