President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,615
- 94,211
Bila kutuonesha Mzizima Tower ikiwa na Vioo maana yake picha ni ya 2020 kurudi nyuma. Hii hapa ya mwaka huu.In summary.., ama kuna nyingine?.., zaidi ya hapa hamna la maana..., boss mtangoja sana!!
View attachment 3025720
#Rutomustgo.Mombasa sio Dar mjukuu wangu anajaribu kujiliwaza kwa kuchagua chagua sehemu za kupost, ana select mapungufu, poleni sana🤣🤣🤣🤣.,
Dar kama Dar🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3025641
CBD Moja kwisha!🤣🤣🤣🤣🤣🤣
View attachment 3025643
Kisha uswazi kila eneo .
View attachment 3025647
View attachment 3025648
Iwe Kigoma iwe Katavi zote ni Bongoland na tangu mzungu aingie tunaona vumbi. Mambo ya kutuambia zimeanzishwa 2012 ni kufikiria kama sokwe.Ipi ni Kigoma ipi ni Katavi sasa? Kumbe unargue na kitu hata hujui? Kigoma imeingiaje hapa wakati kino alishatoka Kigoma siku nyingi?View attachment 3025652
Lower Manhattan 😁In summary.., ama kuna nyingine?.., zaidi ya hapa hamna la maana..., boss mtangoja sana!!
View attachment 3025720
Wale wachafu hawajui kuoga, Mombasa maji ni ya shida Sana ujue 🤣🤣🤣🤣nenda casablanca club ukawale pia 😀
Kajibwa kanachukua kasehemu ka Mombasa anasema Mombasa hii hapa.., heheheh.., ushakufa wewe, Mombasa ni Dar mjukuu., hiklo ata ubishe ulie hadi mwaka inaisha haubadilishi!!..,Ukitaka kujua kama hili jamaa ni lichoko Don YF. Hiyo Mombasa anayoipigia debe ni hii hapa.. 👇View attachment 3025714View attachment 3025715View attachment 3025716🤣🤣🤣 haya cheki Arusha vile ipo more organised and developed 👇View attachment 3025727View attachment 3025726View attachment 3025719View attachment 3025721View attachment 3025724View attachment 3025728.. hiyo Mombasa hapo si ni kama upumbavu tu.🤣🤣🤣
Mwache apost ujue hio ndio furaha Yao iliobakia, hawana furaha so far🤣🤣🤣🤣🤣Picha za 2013 🤣🤣🤣🤣 more than 10 years ago
Kuna sehemu gani nyingine hapo Mombasa kando na hizo hapo.? 😂😂😂 unapost hizo takataka kila siku kulinganisha na Kariakoo. 😂😂 leo I have had to show the bitter truth that Atusha is far better than hiyo Mombasa, city ya kale.Kajibwa kanachukua kasehemu ka Mombasa anasema Mombasa hii hapa.., heheheh.., ushakufa wewe, Mombasa ni Dar mjukuu., hiklo ata ubishe ulie hadi mwaka inaisha haubadilishi!!..,
Huyu keshakubali kwamba kariakoo ni father of concrete jungle in EA.According to them, Kariakoo imeendelea kuliko Frankfurt kisa concrete jungle. 🤣 🤣 🤣
Tena tanga mji umepangika msafi mashallah, tena tanga kuna maendeleo makubwa watu wanajenga kila Kona so farHii inatofauti gani na barabara za namba Tanga.?🤣🤣🤣 wewe ni mpumbavu zaidi humu ndani.
Hizi ni nini mzee.? 🤣🤣🤣🤣 the summary is here 👇Mombasa haina mwenzake Tanzania kama sio Dar uswazi city., Sama boy 255 utalia hadi basi...., Arusha peleka Dodoma.,
View attachment 3025735
View attachment 3025736
View attachment 3025737
Mwambie hii ni hotel moja na imefunguliwa juzi Tu znz🤣🤣🤣👇👇👇👇By the way kwenye ile video ya huyu mpumbavu Don YF best places pekee zilikua ni hizi hotels tatu hapo. 👇🤣🤣🤣View attachment 3025732 sasa hiv vijengo viwili vya hotels ndio vishindane na Zbz kweli.? 😂😂😂 nakunya hapa hadi kwetu Tanga.
Cheki Arusha vile inavyoilaza chali hii takataka Mombasa . CHUGA BEIB 👇Mombasa haina mwenzake Tanzania kama sio Dar uswazi city., Sama boy 255 utalia hadi basi...., Arusha peleka Dodoma.,
View attachment 3025735
View attachment 3025736
View attachment 3025737
Kajitia kidole alaf kanusa mwenyewe🤣🤣🤣Hizi ni nini mzee.? 🤣🤣🤣🤣 the summary is here 👇View attachment 3025740View attachment 3025741unadhani unaweza badilisha kibachoonekana hapo juu kwa maneno.? 🤣🤣🤣
Jamaa ni lipumbavu sana 🤣🤣🤣 hiyo Mombasa haiwezi toboa kwa Zanzibar hata kwa uchawi.Mwambie hii ni hotel moja na imefunguliwa juzi Tu znz🤣🤣🤣👇👇👇👇
View attachment 3025742View attachment 3025743View attachment 3025744View attachment 3025745View attachment 3025746View attachment 3025747View attachment 3025748