Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ukisema ni region ya 2012 unamaanisha mji wa Kigoma haukuwa before 2012? Unamaanisha before 2012 watu hawakua wanasafiri kutoka Kigoma hadi Mpanda? Wacha bangi wee kinyangarika.
 
Ukisema ni region ya 2012 unamaanisha mji wa Kigoma haukuwa before 2012? Unamaanisha before 2012 watu hawakua wanasafiri kutoka Kigoma hadi Mpanda? Wacha bangi wee kinyangarika.
Mzee karibu. Nakutaka usikimbie. Njoo na accounts zako zote. Mimi nimeanza. Jana nilikuwa busy na kazi nzito sana.

Slipway Dar



 
alijitoa ufahamu wazi wazi.., maumivu hehehe


Ameamua ku google, hizi picha ametumia tokea enzi za Magufuli zamani.., haamini anacho ona Mombasa hehehe
Mombasa Island ni kubwa zaidi ya Dar CBD by far!!!

View: https://www.youtube.com/watch?v=KBbSf4AeiSk
Picha anazopost mwenyekiti , hayo maeneo yalivunjwa au.? 🤣🤣🤣 Mombasa noli ushuzi wa bata. Level zake ni Zanzibar na Tanga.
 
Ukisema ni region ya 2012 unamaanisha mji wa Kigoma haukuwa before 2012? Unamaanisha before 2012 watu hawakua wanasafiri kutoka Kigoma hadi Mpanda? Wacha bangi wee kinyangarika.
Ipi ni Kigoma ipi ni Katavi sasa? Kumbe unargue na kitu hata hujui? Kigoma imeingiaje hapa wakati kino alishatoka Kigoma siku nyingi?
 
Picha anazopost mwenyekiti , hayo maeneo yalivunjwa au.? 🤣🤣🤣 Mombasa noli ushuzi wa bata. Level zake ni Zanzibar na Tanga.
Mombasa sio Dar mjukuu wangu anajaribu kujiliwaza kwa kuchagua chagua sehemu za kupost, ana select mapungufu, poleni sana🤣🤣🤣🤣.,
Dar kama Dar🤣🤣🤣🤣🤣

CBD Moja kwisha!🤣🤣🤣🤣🤣🤣

Kisha uswazi kila eneo .

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…