Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,173
- 107,749
wacha kujipendekeza hater ni ugonjwa anaozaliwa nao kila Mkunya!Huyo Bertin mjinga sana. Alafu anajifanya mtu fair opinioned kumbe amejaa chuki. Mimi heri mtu anayejitambulisha kama hater kama Geza Ulole kuliko yule wa kujifanyafanya fair na amejaa chuki.
pitia comments zake akiwa Kenya halafu akiwa Tanzania halafu uone wapi ni kuchafu zaidi!Yani utudanganye hata kitu tunachoona wazi. Bradhee, hawa wachafu hapa tuseme ni Warundi? Wamemsurround wanamuangalia akila alafu unasema hawana shughuli naye? Hata Wakenya hatukumshobokea hivi. 🤣 🤣 🤣
View attachment 3025079View attachment 3025080
Nijipendekeze kwako una nini wee mzee?wacha kujipendekeza hater ni ugonjwa anaozaliwa nao kila Mkunya!
Hivi comments na video ni kipi kinaonyesha usafi au uchafu kwa kina? 🤣 🤣pitia comments zake akiwa Kenya halafu akiwa Tanzania halafu uone wapi ni kuchafu zaidi!
Yani uache kuangalia video usome comments kujua wapi kuchafu.😀😀Hivi comments na video ni kipi kinaonyesha usafi au uchafu kwa kina? 🤣 🤣
So, Tanzania ni chafu kuliko Kenya?Hivi comments na video ni kipi kinaonyesha usafi au uchafu kwa kina? 🤣 🤣
Muulize alikotoa hizo picha mbona kaleta humu vitu nusu nusu wakati aliyepiga hizo picha na kuzi post kaelekeza kila kitu, hayo ndo madhara ya mwanaume kuwa papai. 😂😂😂Ujinga wako ni kutaka kuzungumzia vitu ambavyo huvijui acting like you know what's going on, you are crazy 😂😂😂 fala kweli we jamaa.. maeneo mengi kabla reli yetu ya Sgr haijaanza operation kulikua na baadhi ya maeneo (ndani ya jiji la Dar) hayakuwekwa fence ili watu waweze kupita juu ya tuta la reli na kufanya shughuli zao, while kazi za ujenzi wa vivuko ikiendelea, there are three overpass kwenye hayo maeneo kwasasa. Nikikuita wewe zuzu unalia lia.
Escape from sobibo humo ndani kunyan wanakula moshi 😀Kama kifaa cha kivita kimedondoshewa bomb na drone kule kwenye SMO 😂😂😂😂
Inaharibu mazingira ya kunyan 😀Inakunya moshi utasema jahanam yarabi😅😅
Kunyan sijui walitegemea kwenye kitu cha diesel 😀Duuuhh aloooo 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
msikilize yeye anachoongea kwenye clips!Hivi comments na video ni kipi kinaonyesha usafi au uchafu kwa kina? 🤣 🤣
Angalia video hiyo baby upate kufurahiYani uache kuangalia video usome comments kujua wapi kuchafu.😀😀
The largest Swahili speaking city in the world.Huu uchafu wa Mombasa nani karuhusu uwekwe humu? Au ndio tabia ya wakenya ya kujifurahisha?
Mkiweka picha kutoka kenya inakaribia hii niiteni mbwa
View attachment 3025130
90% ya nyumba za Mombasa ni za tope 😅😅