Reborn Ktb
JF-Expert Member
- Mar 14, 2021
- 6,906
- 9,731
Kuna mtanzania yupi hapa kwa huu Uzi isipokuwa wewe hajafika Mombasa, hapa mitaani wabongo wamejaa lakini wako na adabu kidogo, kuna mmoja anaitwa Ali kazi yake ni kupika sambusa alafu usiku analala msikitini hana nyumbaπππππ
Minor issues za mtu kupika sambusa huwa zinajadiliwa na wanawake π€£ π€£ π€£ π€£ . Sisi wanaume tunajadili yafuatayo:-Kuna mtanzania yupi hapa kwa huu Uzi isipokuwa wewe hajafika Mombasa, hapa mitaani wabongo wamejaa lakini wako na adabu kidogo, kuna mmoja anaitwa Ali kazi yake ni kupika sambusa alafu usiku analala msikitini hana nyumbaπ
Halafu Wakenya wanawafanyia kejeli majamaa wanashika mori. Hawajui huku Kenya tushaawachukulia kama watoto wadogo. Mtoto ukimwaambia hiyo toy yako ni yangu anaanza kulia.ππππUjumbe kwa mseng.e ichoboy01 na dadake babayao255 wanaosherekea Chris brown akikata mauno. Wanatuletea habari za kishoga kwenye jukwaa la mambo muhimu, nimewadharau kishenzi π
View: https://twitter.com/HilmiHilal88/status/1803859844006297704?t=A_D5kza9vWa6O1jQgXYWiw&s=19
Huko Kenya mnaandamana kwa kukosa ugali, huku Tanzania Wamarekani wanachapa kiswahi kizuri π€£ π€£ π€£ π€£Halafu Wakenya wanawafanyia kejeli majamaa wanashika mori. Hawajui huku Kenya tushaawachukulia kama watoto wadogo. Mtoto ukimwaambia hiyo toy yako ni yangu anaanza kulia.ππππ
Unaendelea kupambana na RUTO. Yaani Kenya na DRC hakuna tofauti. Mnapigana ninyi kwa ninyi π€£π€£π€£π€£Mzee hakuna mtaa wa kifahari dar slum inafikia Nyali, tuliza roho, ndoto ya kila mtanzania ni kufika Mombasa.
Jamaa wako na inferiority complex mbaya Sana, imagine wabunge wao wanalalamika kwa sababu KQ imeandika Kilimanjaro kwa ndege, so hapo wameibiwa mlima. Ni rahisi sana kupata attention yao πππHalafu Wakenya wanawafanyia kejeli majamaa wanashika mori. Hawajui huku Kenya tushaawachukulia kama watoto wadogo. Mtoto ukimwaambia hiyo toy yako ni yangu anaanza kulia.ππππ
Huku Wakenya hujoke, ukitaka kukasirisha Mtanzania mwambie, Kiswahili ni chetu, Diamond ni wetu, Magufuli ni wetu na vitu za ujinga kama hizo. Utatrend hadi kwa Parliament yao.πππJamaa wako na inferiority complex mbaya Sana, imagine wabunge wao wanalalamika kwa sababu KQ imeandika Kilimanjaro kwa ndege yao so wameibiwa mlima. Ni rahisi sana kupata attention yao πππ
Mzee kwetu hatunaga utani na wakenya. Nyie sio watani wetu. Msijipendekeze kwa watanzaniaHuku Wakenya hujoke, ukitaka kukasirisha Mtanzania mwambie, Kiswahili ni chetu, Diamond ni wetu, Magufuli ni wetu na vitu za ujinga kama hizo. Utatrend hadi kwa Parliament yao.πππ
Wacheni kuvuta bangi ππππππNchi ambayo kampuni ya sukari inaagiza simu, vijana wa CCM wako busy Ku discuss Chris brown akicheza,
Angalia jinsi tunawapiga spana kina choo boy ππ₯π₯
View: https://twitter.com/spana_Konki/status/1803729318599659990?t=CwoT1bNlJ706FfGzfszD_w&s=19
Unatamani iwe hivyo sio.? πππKuna mtanzania yupi hapa kwa huu Uzi isipokuwa wewe hajafika Mombasa, hapa mitaani wabongo wamejaa lakini wako na adabu kidogo, kuna mmoja anaitwa Ali kazi yake ni kupika sambusa alafu usiku analala msikitini hana nyumbaπ
Godown loading heheheheArusha airport new terminal buildingπΉπΏπΉπΏ
View attachment 3021994
View attachment 3021992View attachment 3021993
Nimeskia kuna agencies dar slum zinaleta wadada wakibongo Mombasa Kama housemaids, niunganishe na moja nataka mfanyikazi. Niko serious...Unatamani iwe hivyo sio.? πππ
Haka kajibwa kanajaribu kujipendekeza kwa kujiliwaza..., hauna ya kuongezea Dar wala kupunguzia Mombasa, ziko zilivyo, all is laid bare for all to see, maumivu yamekuzidi naona hehehe.,, hauna jipya utaweka humu, Google earth imetosha, hauna sehemu ya kuficha wala kueneza propaganda kwa ku post vipicha kwa angle kijanja janja ukificha uhalisia., kwenda kabisa!!.., tafuta kazi ya kufanya mbuzi man..,Empty talkers. π€£π€£π€£ heb leteni picha za hayo kakazi bora hapo Mombasa, hatutaki satellite pictures. Nitakuonyesheni Mombasa inazidiwa na mji gani hapa Tz . Leo nina muda wa kutosha kujibizana na nye mbwa
Watanzania tafadhali mniache hii battle naiweza pekeangu.